Jamii ya Wayahudi wa Iran wameandamana kutaka Iran ilipize kisasi kuibonda Israel

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Iran’s Jewish community demands revenge after Israeli assassination of Haniyeh
Saturday, 03 August 2024 10:41 AM [ Last Update: Saturday, 03 August 2024 2:56 PM ]

Rabbi Younes Hamami Lalehzar, the leader of Iranian Jews and two other Jewish Rabbis, stand behind a banner during a rally in support of Palestine in downtown Tehran, Oct. 30, 2023.

The Iranian Jewish community has strongly condemned the Israeli assassination of Hamas political leader Ismail Haniyeh in Tehran, calling for revenge.

In a statement, the community denounced Haniyeh’s assassination as a terrorist crime and a blatant violation of international laws.

"The assassination in Tehran of Ismail Haniyeh, the head of the Hamas political office, is a terrorist crime and a clear violation of international law," the Jewish Association of Iran said in a statement.

"The Mujahid martyr, who was one of the flag bearers of the Noble Quds liberation movement, had come close to martyrdom many times, but even after losing his family members, he did not stop resisting and defending the oppressed people of Gaza, and the Zionists finally martyred him with a treacherous attack on his sanctuary in Tehran," it said.

"The Iranian Jewish community expresses its condolences to the heroic Palestinian nation and the fighters of the resistance front and the Eminent Leader [Ayatollah Seyyed Ali Khamenei] for the assassination of Ismail Haniyeh, the head of the political bureau of the Hamas movement, and impatiently looks for a decisive and appropriate response to this treacherous assassination," it added.

IRGC chief to Hezbollah leader: ‘Sacred rage, harsh revenge’ await enemies of Muslims

Haniyeh, who was in Tehran to attend the swearing-in ceremony of Iran’s newly-elected President Masoud Pezeshkian, alongside other Axis of Resistance leaders, was martyred along with his bodyguard, in an attack early on July 31.

Ayatollah Khamenei has warned the Israeli regime of a “harsh response” for Haniyeh’s assassination, calling it the Islamic Republic’s duty to avenge the Palestinian resistance leader’s blood.

“The criminal and terrorist Zionist regime martyred our dear guest in our homeland and left us bereaved, but it also set the ground for a harsh punishment for itself,” the Leader said
 
Hizo ni fix tu ili Wairan wasiwafanyie persecution kama ilivyo kawaida ya waislam kuwanyanyasa watu wasio waislam lakini ukweli ni kwamba Waisrael hawatupani.
Kwaakili hizi ndio maana mnaambiwa muoane wajinsia moja huko chachi na mumeridhia
 
Hao hao ndio double agents pia.
Ni mojawapo ya dini ya kiyahudi ambao hata jeshi huwa hawataki kujiunga Jeshi la Israel ni wayahudi wa madhehebu ya Hasdians ambao wengi hawana damu ya kiyahud8 mia kwa mia

Waliozaliwa kama machotara kuchanganya damu na mataifa kinyume na Biblia navyoagiza agano la kale kuwa wasichanganyike na mataifa

Wao huwa hawataki vita Israel na hawaishi Israel ni ma Diaspora machotara ila yanayokomaa kuwa yenyewe mayahudi wakati Israel kutambuliwa kama myahudi lazima kizazi chako cha kike vizazi vingi lazima kiwe cha mwanamke wa kiyahudi sio Mwanaume wa kiyahudi

Hao ma hadist ni kizazi cha wanaume wa kiyahudi waliotombatomba na kuzaa hovyo hovyo na wanawake wa mataifa mbalimbali ikwemo Iran ambao Israel ilikataa kuwatambua kama wayahudi sababu Mama zao hawajawahi kuwa wayahudi japi baba zao walikuwa wayahudi ndio wakaanzisha hicho kidini Chao cha Hasdians na waki force kuwa watambuliwe kama wayahudi kupitia baba zao kitu ambacho Israel kwa sheria zao za uraia hakipo
 
Hizo ni fix tu ili Wairan wasiwafanyie persecution kama ilivyo kawaida ya waislam kuwanyanyasa watu wasio waislam lakini ukweli ni kwamba Waisrael hawatupani.
Ety hawatupani ? Kama mpk viongozi wa Israel wanajiuzulu na kumkataa netanyau sembuse hao raia .
We cjui israel unaichukuliaje ...mkuu wale ni binadamu kama ww hawana upekee kama unavozan
 
Kwa sheria za uraia za Israel wanatambua kizazi cha Mama tu kuwa myahudi

Hao ni Diaspora ambao baba zao walitombatomba wanawake wa kiirani wakazaliwa wao

Israel haiwatambui kama wayahudi na haina mpango

Hao kwa sera za uraia Israel ni wa Irani sio wayahudi

Na Israel ikichukia wakiwaudhi sana waweza washushia kombora kuwaua bila huruma yeyote sababu ni wa Iran sio wayahudi
 
Hizo ni fix tu ili Wairan wasiwafanyie persecution kama ilivyo kawaida ya waislam kuwanyanyasa watu wasio waislam lakini ukweli ni kwamba Waisrael hawatupani.
Wayahudi wanaishi arabuni tangu kipindi Cha mtume,hivi karibuni huko Iran waliishi kwa wingi,na uturuki,mpaka walipoona superiority ya west ndiyo akina Ben gurion wakahamia west, turkey ilipopata tetemeko, netanyahu alisema watapeleka msaada haraka nyumbani
 
Ni mojawapo ya dini ya kiyahudi ambao hata jeshi huwa hawataki kujiunga Jeshi la Israel ni wayahudi wa madhehebu ya Hasdians ambao wengi hawana damu ya kiyahud8 mia kwa mia

Waliozaliwa kama machotara kuchanganya damu na mataifa kinyume na Biblia navyoagiza agano la kale kuwa wasichanganyike na mataifa

Wao huwa hawataki vita Israel na hawaishi Israel ni ma Diaspora machotara ila yanayokomaa kuwa yenyewe mayahudi wakati Israel kutambuliwa kama myahudi lazima kizazi chako cha kike vizazi vingi lazima kiwe cha mwanamke wa kiyahudi sio Mwanaume wa kiyahudi

Hao ma hadist ni kizazi cha wanaume wa kiyahudi waliotombatomba na kuzaa hovyo hovyo na wanawake wa mataifa mbalimbali ikwemo Iran ambao Israel ilikataa kuwatambua kama wayahudi sababu Mama zao hawajawahi kuwa wayahudi japi baba zao walikuwa wayahudi ndio wakaanzisha hicho kidini Chao cha Hasdians na waki force kuwa watambuliwe kama wayahudi kupitia baba zao kitu ambacho Israel kwa sheria zao za uraia hakipo
Na wale wayahudi wa marekani wanaopinga daily Judaism is not Zionism nao baba zao ndiyo wayahudi sio mama zao!?
 
Iran’s Jewish community demands revenge after Israeli assassination of Haniyeh
Saturday, 03 August 2024 10:41 AM [ Last Update: Saturday, 03 August 2024 2:56 PM ]

Rabbi Younes Hamami Lalehzar, the leader of Iranian Jews and two other Jewish Rabbis, stand behind a banner during a rally in support of Palestine in downtown Tehran, Oct. 30, 2023.

The Iranian Jewish community has strongly condemned the Israeli assassination of Hamas political leader Ismail Haniyeh in Tehran, calling for revenge.

In a statement, the community denounced Haniyeh’s assassination as a terrorist crime and a blatant violation of international laws.

"The assassination in Tehran of Ismail Haniyeh, the head of the Hamas political office, is a terrorist crime and a clear violation of international law," the Jewish Association of Iran said in a statement.

"The Mujahid martyr, who was one of the flag bearers of the Noble Quds liberation movement, had come close to martyrdom many times, but even after losing his family members, he did not stop resisting and defending the oppressed people of Gaza, and the Zionists finally martyred him with a treacherous attack on his sanctuary in Tehran," it said.

"The Iranian Jewish community expresses its condolences to the heroic Palestinian nation and the fighters of the resistance front and the Eminent Leader [Ayatollah Seyyed Ali Khamenei] for the assassination of Ismail Haniyeh, the head of the political bureau of the Hamas movement, and impatiently looks for a decisive and appropriate response to this treacherous assassination," it added.

IRGC chief to Hezbollah leader: ‘Sacred rage, harsh revenge’ await enemies of Muslims

Haniyeh, who was in Tehran to attend the swearing-in ceremony of Iran’s newly-elected President Masoud Pezeshkian, alongside other Axis of Resistance leaders, was martyred along with his bodyguard, in an attack early on July 31.

Ayatollah Khamenei has warned the Israeli regime of a “harsh response” for Haniyeh’s assassination, calling it the Islamic Republic’s duty to avenge the Palestinian resistance leader’s blood.

“The criminal and terrorist Zionist regime martyred our dear guest in our homeland and left us bereaved, but it also set the ground for a harsh punishment for itself,” the Leader said
Wamasai waandamana kuunga mkono kuhamishwa kutoka Ngorongoro
 
Hitler alikuwa muislam?
Hitler Alipenda itikadi za Kiislam na alinukuliwa akisema anatamani Wajerumani wawe waislam. Rafiki zake Hitler walikuwa Waturuki (Waislam) na Mufti wa Kipalestina wa Jerusalem Mohamed Amin al Husein.

Hitler alihimizwa na huyu Sheikh Al Hussein kuwachukia na kuwaangamiza Wayahudi na hata alimpa kikosi jeshi cha Waislam kumsaidia Hitler kazi hiyo ya kuua Wayahudi.

images (1).jpeg
images (2).jpeg
images (3).jpeg
 
Hitler Alipenda itikadi za Kiislam na alinukuliwa akisema anatamani Wajerumani wawe waislam. Rafiki zake Hitler walikuwa Waturuki (Waislam) na Mufti wa Kipalestina wa Jerusalem Mohamed Amin al Husein.

Hitler alihimizwa na huyu Sheikh Al Hussein kuwachukia na kuwaangamiza Wayahudi na hata alimpa kikosi jeshi cha Waislam kumsaidia Hitler kazi hiyo ya kuua Wayahudi.

View attachment 3060881View attachment 3060882View attachment 3060883
Madikteta kwenye kulinda viti vyao wako vizuri hata kwa Shetani wataenda as long they are sure itawasaidia kusalia madarakani! Sio ajabu Hitler, the fashisti alitumia kila mbinu but haikumsaidia.
 
Back
Top Bottom