Jamii ya wazaramo inapotea kwa Kasi

Jamii ya wazaramo inapotea kwa Kasi

Huo ni mfano hai wa jinsi jamii ya watu weusi itakavyopotea kutokana na ujio mkubwa wa wachina, wasomali, waarabu na wahindi
Hawa wachina,wasomali waarabu na wahindi wameingia Nchini wangapi mpaka wamefanya wazaramo au watu weusi wapotee au waje wapotee katika wakati ujao?.Idadi ya watu weusi imepungua kwa ujio wa hawa uliowataja?.
Just checking hivi wasomali sio watu weusi yaani waafrika?
 
Hawa wachina,wasomali waarabu na wahindi wameingia Nchini wangapi mpaka wamefanya wazaramo au watu weusi wapotee au waje wapotee katika wakati ujao?
Sijasema hao wamewadisplace wazaramo, in a long run hao watawadominate waliowakuta kama wengine tulivyojaa Dar na wazaramo kusogea pembeni au wakinga na wanyakyusa walivyodominate Mbeya mjini na wasafwa kwenda mbali na mji.
Idadi ya watu weusi imepungua kwa ujio wa hawa uliowataja?.
Just checking hivi wasomali sio watu weusi yaani waafrika?
Gradually utaelewa nilichomaanisha
 
90% ya wakazi WA mkoa WA pwani ni kutoka mikoa mingine sadly ni jamii ya kizaramu inapotea kabsa.
Kwa akili zangu mwaka 1996..tunaamia Mwisho Yombo Vituka - Kiwalani - Kaliagogo- BomBom-Msikitini- Vingunguti... Hapo natoka Ubungo Kisiwani shule ya msingi nahamia Yombo Vituka... Mashamba tu ... Mapori.... Tumezeeka..... Nimeanza chekechea Sinza Vatican,Uwanja wa TP -Mto wa ng'ombe... Aseeee...Mi Dar nafuga Hela naenda tu kula Bata na Wana wa "kitaa"... Sili Bata nogi..Bata nogi ..ni kula Bata na Wana wa ukubwani.... Kumbekeni Wana wa kitaa...
 
90% ya wakazi WA mkoa WA pwani ni kutoka mikoa mingine sadly ni jamii ya kizaramu inapotea kabsa.
Kihistoria Wazaramo walikuja tu kama wakuja wengine.

Asili ya watu wa ukanda wa pwani siyo wabantu.

Zamani kidogo pale Kilwa na Mafia kulikuwa kuna kabila linajiita Wakanaani, ndiyo wenye kwao, kwa mtazamo tu, hawakuwa wabantu kabisa.

Sifahamu wameishia wapi.
 
Kihistoria Wazaramo walikuja tu kama wakuja wengine.

Asili ya watu wa ukanda wa pwani siyo wabantu.

Zamani kidogo pale Kilwa na Mafia kulikuwa kuna kabila linajiita Wakanaani, ndiyo wenye kwao, kwa mtazamo tu, hawakuwa wabantu kabisa.

Sifahamu wameishia wapi.
Asili ya hao wakanaani ni wapi?

After all, mwenye asili na umiliki wa Dunia hii ni Adam na Hawa tu

HAKUNA mwenyeji wa ardhi zaidi ya hao...waliopo Tanzania wote ni wa kuja kutoka nchi zingine, mfano waliopo Uingereza wale ni Saxons waliohamia,

Hata Red Indians wanaoitwa wenye asili ya Marekani pia walihamia

Hakuna mwenye ardhi hata mmoja zaidi ya wale waliokabidhiwa na M.Mungu

Unaweza ishi popote na ukapafanya kwako
 
Back
Top Bottom