Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Hicho kiswahili unachoongea ni sehemu ya kizaramu.Utafiti wako ni feki, Angalau ungeeleweka , ukisema Kizaramo kinapotea!
Mimi nilijaribi kuiuliza bard AI juu ya kilugha cha kimanyema na kitongwe. Hizo lugha ni kiswahili 90 ! NIkaiuliza inifundishe kikongo au kilingala nikagundua kuna maneno mengi ya kiswahili. Ukuwasikiliza wazuru unaweza dhani wanaongea kiswahili.
Hivyo kuna lugha zimeisha kuwa kiswahili.
Lugha kama kizaramo ni lahaja za kiswahili kwa hio kuona kuwa Kizaramu kinakufa ni kutokuelewa historia ya kiswahili.