Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazaramo hawakai sinza Kaka, yamejaa huko kisarawa yanaloga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mvuti huku wapo kibao, ni mwendo wa mauno feni kitandani unamwaga fasta
siyo wenu hao magogo ya Tabata yaliyojaa UTI
Hawa wachina,wasomali waarabu na wahindi wameingia Nchini wangapi mpaka wamefanya wazaramo au watu weusi wapotee au waje wapotee katika wakati ujao?.Idadi ya watu weusi imepungua kwa ujio wa hawa uliowataja?.
Just checking hivi wasomali sio watu weusi yaani waafrika?
Nauli shiling ngapi?Aisee tuhamie Mvuti wakuu.
NAKAZIAAisee tuhamie Mvuti wakuu.
1400 tu toka Tabata na 1600 tu toka KariakooNauli shiling ngapi?
dronedrake atupe muongozoNauli shiling ngapi?
Tembea uone wacha kuwa na mawazo mgando. Unaposema mtu mweusi una maana gani?Wasomali ni weupe?Hivi ukimwangalia Bashe, Kinana, Hersi Said ni wazungu?Kuna wasomali weusi kukuzidi kama weusi ndio kipimo chako.Ushaona mtu mweusi anaenda kuishi somalia?
Somali ni watu wa hovyo sana ukiwakaribisha mmoja nchini kwako lazima alete watu miatano
Wasomali wasipothibitiwa ni hatari kuliko hata jamii ya watu weupe
Chanika nako wamekimbizwa, wapo Chamazi, Chole, Kimanzichana, na bado wanazidi kutokomea.90% ya wakazi WA mkoa WA pwani ni kutoka mikoa mingine sadly ni jamii ya kizaramu inapotea kabsa.
Mikwambe,kwa fundi baiskeli,kisarawe ,vikindu,chamazi wamejaa teleNenda ungindoni, Mbagala, mbande, Kibiti, Mkuranga, Buza,
Wana ongea balaaaa ..
Mkuu hebu nikumbushe vile vijiji vilivyoimbwa na Urafiki Jazz band... wimbo unaitwa Gezaulole... Walikuwa wanahamasisha watu waende huko kulima. Ndiko waliko wazaramo wengi siku hizi....Nenda ungindoni, Mbagala, mbande, Kibiti, Mkuranga, Buza,
Mkuu hebu nikumbushe vile vijiji vilivyoimbwa na Urafiki Jazz band... wimbo unaitwa Gezaulole... Walikuwa wanahamasisha watu waende huko kulima. Ndiko waliko wazaramo wengi siku hizi....