Jamii ya wazaramo inapotea kwa Kasi

Wazaramo hawapendi streesss maisha yao wanayajua wenyewe
Mwendo wa burudani, vigoma, mangoma, vijoraaaa
Ila wanachamba haoo duh
 
Ushaona mtu mweusi anaenda kuishi somalia?
Somali ni watu wa hovyo sana ukiwakaribisha mmoja nchini kwako lazima alete watu miatano

Wasomali wasipothibitiwa ni hatari kuliko hata jamii ya watu weupe
 
Wanachoshindwa wakuja wengi waliopo Dar na Pwani ni kushindwa kutofautisha kupotea kwa lugha na kupotea kabila. Ni kweli lugha ya Kizaramo inaelekea kupotea kutokana na Wazaramo wengi kutumia zaidi lugha ya kiswahili kama lugha mama. Hivyo SI rahisi kumtambua haraka Mzaramo anayeongea Kiswahili tofauti na ukienda mikoani ambapo bado makabila mengi yanaongea lugha zao za asili.
 
Nnachojua asili ya wanadamu wote ni Iraq kwasababu pale ndio walipokuwa wanaishi wanadamu wakwanza Adamu na Hawa katika bustani ya edeni,baada ya hapo Mungu alitaka wanadamu watawanyike kote duniani,baadhi walikuwa wabishi wakataka wakae sehemu moja tu na kuweka himaya yao ndio wakaanza kujenga ule mnara wa babeli,Mungu akapinga mpango wao kwa kuchanganya lugha zao wasielewane na ndio mwanzo wa lugha mbalimbali duniani maana kabla ya hapo watu wote walikuwa wanazungumza lugha moja.
 
Ushaona mtu mweusi anaenda kuishi somalia?
Somali ni watu wa hovyo sana ukiwakaribisha mmoja nchini kwako lazima alete watu miatano

Wasomali wasipothibitiwa ni hatari kuliko hata jamii ya watu weupe
Tembea uone wacha kuwa na mawazo mgando. Unaposema mtu mweusi una maana gani?Wasomali ni weupe?Hivi ukimwangalia Bashe, Kinana, Hersi Said ni wazungu?Kuna wasomali weusi kukuzidi kama weusi ndio kipimo chako.
Wapemba wengi walipewa hifadhi ya kisiasa Somalia baada ya machafuko ya 1992 na bado wanaishi wameoa huko na wana watoto. Una matatizo ya paranoia.Hiyo hatari unayoiona wewe ipo kichwani mwako tu.
 
Nenda ungindoni, Mbagala, mbande, Kibiti, Mkuranga, Buza,
Mkuu hebu nikumbushe vile vijiji vilivyoimbwa na Urafiki Jazz band... wimbo unaitwa Gezaulole... Walikuwa wanahamasisha watu waende huko kulima. Ndiko waliko wazaramo wengi siku hizi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…