Jamii ya wazaramo inapotea kwa Kasi

Utafiti wako ni feki, Angalau ungeeleweka , ukisema Kizaramo kinapotea!
Hicho kiswahili unachoongea ni sehemu ya kizaramu.
Mimi nilijaribi kuiuliza bard AI juu ya kilugha cha kimanyema na kitongwe. Hizo lugha ni kiswahili 90 ! NIkaiuliza inifundishe kikongo au kilingala nikagundua kuna maneno mengi ya kiswahili. Ukuwasikiliza wazuru unaweza dhani wanaongea kiswahili.
Hivyo kuna lugha zimeisha kuwa kiswahili.
Lugha kama kizaramo ni lahaja za kiswahili kwa hio kuona kuwa Kizaramu kinakufa ni kutokuelewa historia ya kiswahili.
 
Asilie ya binaadamu ni Olduvai gorge
 
Utafiti wako ni feki, Angalau ungeeleweka , ukisema Kizaramo kinapotea
Moja Kati ya misingi ya Jamii au kabila furani ni pamoja na lugha Kama lugha inapotea huoni Kama ni dalili za kabila nalo kupotea ?
 
Sasa hivi wazaramo wameuza hayo yote wamehamia Kisarawe huko na pembezoni mwa Dar wakifuatwa na huko wanauza wanaelekea Mkuranga km unaelekea Rufiji huko ndio kuna ardhi tengefu IPO tu
Unapenda ujiaminishe kuwa Dar haina wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…