Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

Hivi unafikiri ccm wako timamu..hahahaha...ukishakufa huna mpango wowote
 
Acha kutafuta kiki misibani, huwezi kwenda kimya kimya hadi utambulishwe? Wewe ndio ustaarabike kwanza. Acha kutafuta kujulikana na kujikweza
 
Yani mtu anaamua kuwatusi Waafrika kwa sababu za nyodo na lia lia za CHADEMA? C'mon CHADEMA sio waafrika?


Hivi in all honesty nani aliye CCM au Serikalini ambaye ametoka hadharani na kudai Mwendazake Laigwanan E.N.Lowassa hajawahi kuwa CHADEMA?


Separation of Church and State haituhusu waafrika, otherwise kudai tu CHADEMA, a political party watajwe kwenye msiba sijui ndio tutaita ni nini? Halafu unadai hakuna Ustaarabu, ustaarabu gani huo?



CHADEMA wanashangaza sana.
 
mtaji mkubwa wa CCM ni chuki CCM ni waoga kila kitu
 
Afriaka hakuna ustaarabu ndo maana kuchafu, viongozi wanaiba wazi wazi bila kificho in short kuna mambo ya hovyo yanafanyika ambayo huwezi yakuta kwenye jamii iliyostaarabika
 
Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.
Askofu Malasusa aligoma vipi, kuna ujumbe wa CCM ulipewa nafasi kanisani halafu wa CHADEMA ukakataliwa ?

Sikuwepo kanisani kwenu, si kila mtu ni Mlutheli wa DSalaam na alikwenda msibani. Fafanua alichofanya huyo Askofu
 
Hata Kingunge alizikwa kimtindo mtindo tu
 
Hiyo inasaidia kufufuka?
 
Jana naangalia clouds tv wakafika kwenye maandamano ya chadema mwanza ukafka muda Lissu anaongea walikata Kila kitu wakaweka matangazo hata hayaelewek ni ya nn aise hii nchi bado sana
 
Chadema alikosea njia tu ,ndio maana aliamua kurudi nyumbani
 
Huyo Malasusa sijui wanampendea nini au ni wale wanaotumia tunguri kupata vyeo?
 
Mzee Lowassa alikuwa Chadema kugombea Urais baada ya kushindwa akarudi CCM. Chadema bado mnamng'ang'ania. Wakati huohuo akina Halima Mdee na wenzake 18 waliolelewa na kukuzwa Chadema, licha ya wao kudai bado ni Chadema HAMTAKI hata kuwasikia! Kweli aliyewaita Chadema nyumbu Kuna kitu alikiona kwenu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…