Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

Lowasa alikuwa waziri mkuu,chama tawala ni Ccm,sasa wawa acknowledge cdm kwamba alikuwa mgombea huko ndio nini ifanyike?
 
Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi

Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama

Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo

Lowassa amefariki lakini kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua CHADEMA

Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.

Kuna saa unajiuliza eti Malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa Kuna muda unaona kabisa waumini wa KKKT wana bahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana

Kule Monduli ratiba ya mazishi imetoka na CHADEMA hawapo. Unajua kuna muda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa CHADEMA

Historia itabakia kwamba Lowassa alishakuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA hii kamwe haiwezi futika na ndio ukweli
Chadema kimekuwa chama cha matukio Sasahivi, Lowassa haliisha toka chadema baada ya kazi yake kuimaliza chadema kuisha hakaamua kurudi nyumbani amefia nyumbani, Lowassa biashara na chadema iliisha isha zamani, Sasahivi ni mwanachama wa CCM mpaka umauti unamkuta, acheni CCM wamzike mwanachama wao.
 
Lowasa alikuwa waziri mkuu,chama tawala ni Ccm,sasa wawa acknowledge cdm kwamba alikuwa mgombea huko ndio nini ifanyike?

..alijiunga na Chadema.

..Na aligombea Urais kupitia chama hicho.

..haiwezekani tuseme Lowassa aligombea Uraisi 2015 halafu tusitaje chama kilichomsimamisha.

..Na zaidi Lowassa ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa mgombea wa Urais wa upinzani alioyepata kura nyingi zaidi.
 
Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi

Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama

Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo

Lowassa amefariki lakini kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua CHADEMA

Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.

Kuna saa unajiuliza eti Malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa Kuna muda unaona kabisa waumini wa KKKT wana bahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana

Kule Monduli ratiba ya mazishi imetoka na CHADEMA hawapo. Unajua kuna muda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa CHADEMA

Historia itabakia kwamba Lowassa alishakuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA hii kamwe haiwezi futika na ndio ukweli
✔️
 
Hii inaweza kufutika. Soma history of Tanganyika wakati wa uhuru
 
Moyo wa Lowasa haujawahi kiwa CHADEMA hata siku moja. Aliwanunua ili atimize ndoto yake ya kugombea urais basi, biashara ilipoisha akarudi nyumbani.
Naamini pia,sio wote walioko CCM wanaipenda kutoka moyoni,Bali wako pale kutimiza ndoto zao.ukitaka kuprove ninachosema subiri CCM itolewe madarakani.
Rejea KANU.
 
Huko sawa kabisa, mama kazungukwa na washahuri weupe kichwani wasio na uwezo wa kujenga hoja kutetea chama. Wanachojuwa wao ni chuki na mabavu dhidi ya wapinzani wao. Wenye akili wanawaona, kinga yao iliyopo wabaki madarakani ni mabavu ya vyombo vya dola kwasababu kwenye sanduku la kura wanajijuwa hawatakiwi.
✔️
 
The tone, rhythm and writing flow of your article tell everything about your belonging block 🐒

Acha kubeba watu ufala 🐒

Ilifahamika tangu mapema viongozi wa chama unachokitaja watakua kwenye shughuli yao muhimu zaidi ya maandamano meaning kwamba msiba wa Laigwanan comrade ENL ni useless 🐒

All over a suddenly anaibuka tena ibadani Azania front juzi, na leo tena mazishini, sasa sijui maandamano nayo yamekua ni useless 🐒

Chagua moja 🐒
Tulimshauri mapema akashupaza shingo.

Yote na yote Mungu mwema shughuli ya mazishi inakwendra vizur...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
Nadhani wewe ni mmoja wa watu aliowataja mtoa mada, "uncivilized."
Bado una safari ndefu sana.
Ungemwelewa usingeandika hicho kituko,haijalishi ana mlengo gani.maana hata Mbowe nae kasema na hata wapo Wana CCM watasemea mioyoni..haiondoi ukweli wa mtoa mada
 
Kuna ukweli fulani hapa.
Mkuu ni kweli.
Lakini unajua tabia za siasa za vyama vingi?

Siasa sio kabila kwamba huwezi kuhama,tuache mawazo ya chama changu.haya ndio yanachelewesha maendeleo.
Dini unaweza kuhama lakini sio kabila.sasa vyama vya siasa ndio kabisaaa,unaweza kuamkia CCM ukaenda kulala ukiwa chadema,hii ninkwa kuangalia maslahi Yako na maslahi ya taifa.

Mfano.
Huko Kenya Viongozi huhama Kila siku,kutoka chama kimoja kwenda kiingine ili kuungana kwa ajili ya kushinda uchaguzi.
Bila miungano hiyo Leo KANU Ingekua bado IPO.

Ni kweli lowasa hakukulia CDM lkn kama isingekua mazingaombwe pengine angekua Rais wa Tanzania kupitia box la kura kwa toketi ya cdm.
Mazingaombwe.

Israel,India na German ni mifano hai,wabunge huweza kuunga ili kuunda serikali.
 
Na hiyo ndio maana halisi ya demokrasia.
Tuache mambo ya moyo wangu uko CCm lkni Niko CDM kwa sababu ya maslahi binafsi.
 
Moyo wa Lowasa haujawahi kiwa CHADEMA hata siku moja. Aliwanunua ili atimize ndoto yake ya kugombea urais basi, biashara ilipoisha akarudi nyumbani.
Mkuu alichokifanya Lowasa wakati wa kugombea urais ndio maana halisi ya demokrasia ya vyama vingi.achilia mbali mambo ya uumini wa vyama.
Rejea yule mwamba wa Arusha enzi za mwalimu kama sijakosea alikua akiotwa Sarawat,huyu alitoka TANU akagombe kama Private candidate na kashinda.
Sio lazima uwe na mapenzi au sio kama vile kabila kwamba huwezi kubadili kabila lako.
 
..Lissu ana uwezo wa kuhutubia hadhara yoyote ile.

..kama huamini anaweza kutoa hotuba inayogusa ktk msiba tafuta hotuba alizotoa ktk msiba wa Samuel Sitta, na msiba wa Askofu Kweka.

..Na hotuba nyingi za Lissu huwa zina rejea za kihistoria na huelimisha kwa namna fulani.
✔️
 
Back
Top Bottom