Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

Lowasa alikuwa waziri mkuu,chama tawala ni Ccm,sasa wawa acknowledge cdm kwamba alikuwa mgombea huko ndio nini ifanyike?
 
Chadema kimekuwa chama cha matukio Sasahivi, Lowassa haliisha toka chadema baada ya kazi yake kuimaliza chadema kuisha hakaamua kurudi nyumbani amefia nyumbani, Lowassa biashara na chadema iliisha isha zamani, Sasahivi ni mwanachama wa CCM mpaka umauti unamkuta, acheni CCM wamzike mwanachama wao.
 
Lowasa alikuwa waziri mkuu,chama tawala ni Ccm,sasa wawa acknowledge cdm kwamba alikuwa mgombea huko ndio nini ifanyike?

..alijiunga na Chadema.

..Na aligombea Urais kupitia chama hicho.

..haiwezekani tuseme Lowassa aligombea Uraisi 2015 halafu tusitaje chama kilichomsimamisha.

..Na zaidi Lowassa ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa mgombea wa Urais wa upinzani alioyepata kura nyingi zaidi.
 
✔️
 
Hii inaweza kufutika. Soma history of Tanganyika wakati wa uhuru
 
Moyo wa Lowasa haujawahi kiwa CHADEMA hata siku moja. Aliwanunua ili atimize ndoto yake ya kugombea urais basi, biashara ilipoisha akarudi nyumbani.
Naamini pia,sio wote walioko CCM wanaipenda kutoka moyoni,Bali wako pale kutimiza ndoto zao.ukitaka kuprove ninachosema subiri CCM itolewe madarakani.
Rejea KANU.
 
✔️
 
Nadhani wewe ni mmoja wa watu aliowataja mtoa mada, "uncivilized."
Bado una safari ndefu sana.
Ungemwelewa usingeandika hicho kituko,haijalishi ana mlengo gani.maana hata Mbowe nae kasema na hata wapo Wana CCM watasemea mioyoni..haiondoi ukweli wa mtoa mada
 
Kuna ukweli fulani hapa.
Mkuu ni kweli.
Lakini unajua tabia za siasa za vyama vingi?

Siasa sio kabila kwamba huwezi kuhama,tuache mawazo ya chama changu.haya ndio yanachelewesha maendeleo.
Dini unaweza kuhama lakini sio kabila.sasa vyama vya siasa ndio kabisaaa,unaweza kuamkia CCM ukaenda kulala ukiwa chadema,hii ninkwa kuangalia maslahi Yako na maslahi ya taifa.

Mfano.
Huko Kenya Viongozi huhama Kila siku,kutoka chama kimoja kwenda kiingine ili kuungana kwa ajili ya kushinda uchaguzi.
Bila miungano hiyo Leo KANU Ingekua bado IPO.

Ni kweli lowasa hakukulia CDM lkn kama isingekua mazingaombwe pengine angekua Rais wa Tanzania kupitia box la kura kwa toketi ya cdm.
Mazingaombwe.

Israel,India na German ni mifano hai,wabunge huweza kuunga ili kuunda serikali.
 
Na hiyo ndio maana halisi ya demokrasia.
Tuache mambo ya moyo wangu uko CCm lkni Niko CDM kwa sababu ya maslahi binafsi.
 
Moyo wa Lowasa haujawahi kiwa CHADEMA hata siku moja. Aliwanunua ili atimize ndoto yake ya kugombea urais basi, biashara ilipoisha akarudi nyumbani.
Mkuu alichokifanya Lowasa wakati wa kugombea urais ndio maana halisi ya demokrasia ya vyama vingi.achilia mbali mambo ya uumini wa vyama.
Rejea yule mwamba wa Arusha enzi za mwalimu kama sijakosea alikua akiotwa Sarawat,huyu alitoka TANU akagombe kama Private candidate na kashinda.
Sio lazima uwe na mapenzi au sio kama vile kabila kwamba huwezi kubadili kabila lako.
 
✔️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…