Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

Mnagombania kuongea msibani?

Hata hivyo naona Rais akichukua point zake kwa kumpa Mbowe nafasi ya kuongea kwenye muda wake!
Wewe unawaza ujinga tu kama hao wengine.kwani hizo sifa zinasaidia nini.watu wanachohoji ni taarifa ziwe sahihi.Historia ni historia iwe mbaya iwe nzuri.wajinga ni wale wanaotaka kuibatilisha kwa ujinga wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes,
hiyo haiondoi ukweli hata kama kafa kwa mapenzi ya Mungu lakini bado analaumiwa Vladimir Putin ndugu yako huko mashariki ya mbali...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Wewe unawaza ujinga tu kama hao wengine.kwani hizo sifa zinasaidia nini.watu wanachohoji ni taarifa ziwe sahihi.Historia ni historia iwe mbaya iwe nzuri.wajinga ni wale wanaotaka kuibatilisha kwa ujinga wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
aiseee...

hebu relax kidogo kwanza,

kunywa walau tama moja la maji dah...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Huu ni moja ya mchango wa hovyo kabisa,na hii ndio maana Halisi ya mtu kutokua mstaarabu.
Amezikwa kama Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbowe kapewa nafasi ya kutoa salamu kama sehemu ya familia na sio chama...... mlitaka msiba uhamishiwe Machame au azikwe na CHADEMA?
 
Uko sahihi lakini nyie nendeni msibani mshiriki na wanachama wenu kumuaga Lowasa kama wananchi WA kawaida kwani mtapungukiwa nini.
Historia ya Marehemu ndugu ndio Huwa na uamuzi wa mwisho kipi kiwemo na kipi kisiwemo na uamuzi wao huheshimiwa mfano sehemu ya mtu kafariki Kwa ugonjwa upi ndugu waweza Kataa isiwemo kwenye historia hata kama Kila mtu anajua alikufa Kwa ugonjwa Gani

Mfano historia ya wazi ambayo hata Mbowe itafutwa na familia kuwa isiwemo ni Ile ya yeye kuzaa na Joyce Mukya haitakuwepo na Joyce Mukya hatapewa nafsi kuongea au Mwanawe msibani pamoja na kuwa anajulikana wazi tu

Historia ya mtu akifariki ndugu ndio wenye uamuzi wa mwisho
 
Sema wachache tu ndio wanatukwamisha, CCM ni mapumbavu!
 
Afriaka hakuna ustaarabu ndo maana kuchafu, viongozi wanaiba wazi wazi bila kificho in short kuna mambo ya hovyo yanafanyika ambayo huwezi yakuta kwenye jamii iliyostaarabika

Sasa, Mkuu huo ustaarabu wako.ndio upi?

Ustaarabu na uchafu una mahusiano gani?

Mambo ya hovyo ndiyo yepi hayo?

CHADEMA kung'ang'ania Legacy ya Edward.N Lowassa kuwa ni ya kwao ni ustaarabu?

Peleka hii non sense huko utokapo.

Afrika ni ya Waafrika, wewe kama unaona hakujastaarabika sepa zako na uende uendako. This is not your place.
 
Kwamba unanipangia mahali pa kuish
Jikite kwenye mada afrika ni pa hovyo huo ndo ukweli
 
mila za kiafrika zinaruhusu kuzaa na mwanamke zaidi ya mmoja sio kosa
Viongozi wengi wamezaa na mwanamke zaid ya mmoja mbona sio ajabu mbowe kuwa na mchepuko sio pekee yake aliyezaa na mchepuko
 
Uko sahihi lakini nyie nendeni msibani mshiriki na wanachama wenu kumuaga Lowasa kama wananchi WA kawaida kwani mtapungukiwa nini.
Na akitajwa kua aligombea urais,wao watapungukiwa Nini??wao ndo wajinga,unafichaje historia ya marehemu??
 
Kumbe wewe ni mpumbavu??hatukujua.tusamehe,tumekujibu Bure kumbe wewe ni zero [emoji3447]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…