Jamii za Ngorongoro-Lengai zanufaika na Utalii, zamshukuru Rais Samia kwa kuitangaza Tanzania

Jamii za Ngorongoro-Lengai zanufaika na Utalii, zamshukuru Rais Samia kwa kuitangaza Tanzania

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Jamii zinazoishi katika maeneo yanayozunguka Ngorongoro-Lengai UNESCO Global Geopark ikiwemo Wahadzabe na Wadatoga wameeleza umuhimu wa utalii katika kutangaza urithi wao wa asili na utamaduni, huku wakimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi za kuendeleza sekta ya utalii nchini na kufungua fursa kwa wananchi.

Aidha, Ngorongoro-Lengai ni hazina ya urithi wa kiasili na kitamaduni inayotoa fursa ya kuitambulisha Tanzania kwa dunia, na kwa jamii zinazoishi maeneo ya jirani, wageni wanaotembelea eneo hilo wanaweza kuwa sehemu ya kukuza utamaduni wa wenyeji na kuchochea shughuli za kiuchumi zinazohusiana na utalii.


 
Back
Top Bottom