Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Uongo kwahiyo kabla ya kuwepo kwa fedha wanaume walikuwa hawadindi?Nguvu za kiume ni hela! Kama huna hela alafu unasimamisha uume ni kosa na ni dhambi! Huna hela, "dushelele" lako linatakiwa kuwa limelala!
Ni ngumu sana.Kunusuru this generation mlee mtoto wako WA kike malezi yanayomfunza hawez Kua the same na Mwanaume
Ukimlea mtoto wa kike kuwa hawezi kuwa the same na wanaume wakati wanaume wanaenda kuwa weak kijamii itakuwaje sasa ?Sasa hivi Europe n'a américa Mwanaume sio chochote île power ya Mwanaume aliyopewa n'a MUNGU ki asili haipo.
Mwanaume Amékua kiumbe dhaifu mbele ya mwanamke .
Mdogomdogo hiyo hali inaingia Africa kwa kivuli Cha 50/50.
Unfortunately this world Will never be the same until watakatambua nguvu ya Mwanaume kiasili.
Kunusuru this generation mlee mtoto wako WA kike malezi yanayomfunza hawez Kua the same na Mwanaume
Wapo wale vipofu wanaomba omba wale wana watoto wa kutosha,kuonyesha wanapata hiyo kitu kila sikuUongo kwahiyo kabla ya kuwepo kwa fedha wanaume walikuwa hawadindi?
Huyo mchangiaji niliyemquote hana uelewa na alichosemaWapo wale vipofu wanaomba omba wale wana watoto wa kutosha,kuonyesha wanapata hiyo kitu kila siku
Dunia ilishaharibu uanaume wako yani Machine kusimama mpka uwe na Hela, una shida Kijana nahisi ww utakua upande wa pili.Nguvu za kiume ni hela! Kama huna hela alafu unasimamisha uume ni kosa na ni dhambi! Huna hela, "dushelele" lako linatakiwa kuwa limelala!
HaPA nazungumizia nguvu ya Mwanaume kwenye nyanja za maisha ya kilasiku mfano Kuheshiimika,kua na uwezo WA kufanya maamuzi sio swala la mguvu za kiume za kitandaniNguvu za kiume ni hela! Kama huna hela alafu unasimamisha uume ni kosa na ni dhambi! Huna hela, "dushelele" lako linatakiwa kuwa limelala!
Elton John anayo pesa na ni punga , nguvu ya kiume sio pesa kwa sababu hata mapunga wanauwezo wa kuwa na pesa tena haraka kwa dunia ya sasa.Nguvu za kiume ni hela! Kama huna hela alafu unasimamisha uume ni kosa na ni dhambi! Huna hela, "dushelele" lako linatakiwa kuwa limelala!
Mbona huko amerika bado wanawake wanacheza Music wako Uchi na wanaume wamevaa suti?Sasa hivi Europe na américa Mwanaume sio chochote île power ya Mwanaume aliyopewa n'a MUNGU ki asili haipo.
Mwanaume Amékua kiumbe dhaifu mbele ya mwanamke .
Mdogomdogo hiyo hali inaingia Africa kwa kivuli Cha 50/50.
Unfortunately this world Will never be the same until watakatambua nguvu ya Mwanaume kiasili.
Kunusuru this generation mlee mtoto wako wa kike malezi yanayomfunza hawez Kua the same na Mwanaume
HahahaElton John anayo pesa na ni punga , nguvu ya kiume sio pesa kwa sababu hata mapunga wanauwezo wa kuwa na pesa tena haraka kwa dunia ya sasa.
Una shida sana.Nguvu za kiume ni hela! Kama huna hela alafu unasimamisha uume ni kosa na ni dhambi! Huna hela, "dushelele" lako linatakiwa kuwa limelala!
[emoji23][emoji23][emoji23]Nguvu za kiume ni hela! Kama huna hela alafu unasimamisha uume ni kosa na ni dhambi! Huna hela, "dushelele" lako linatakiwa kuwa limelala!
Du. Mbona unavunja watu mbavu wewe!Nguvu za kiume ni hela! Kama huna hela alafu unasimamisha uume ni kosa na ni dhambi! Huna hela, "dushelele" lako linatakiwa kuwa limelala!
[emoji3]unaijuwa dar au unaiona kwenye mitandao tuu?
Kuna kipindi hata mimi nilikuwa nadhani hivyo. Ila kiuhalisia, ukiishi sehemu kama Ulaya utagundua kuwa mwanamme atabaki kuwa mwanamme, na mwanamke atabaki kuwa mwanamke. Usawa unaoongelewa ni ule wa kutonyanyasa wanawake au kuwanyika baadhi ya haki lakini siyo kumfanya awe sawa na mwanamme.Sasa hivi Europe na américa Mwanaume sio chochote île power ya Mwanaume aliyopewa n'a MUNGU ki asili haipo.
Mwanaume Amékua kiumbe dhaifu mbele ya mwanamke .
Mdogomdogo hiyo hali inaingia Africa kwa kivuli Cha 50/50.
Unfortunately this world Will never be the same until watakatambua nguvu ya Mwanaume kiasili.
Kunusuru this generation mlee mtoto wako wa kike malezi yanayomfunza hawez Kua the same na Mwanaume