JamiiAfrica, Wadau wa Habari wabadilishana uzoefu wa umuhimu wa taarifa zenye maslahi kwa Umma

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285

Matukio mbalimbali wakati wa warsha iliyoandaliwa na JamiiAfrica kuwakutanisha Wanahabari na Wadau wa Habari kupeana elimu kuhusu umuhimu wa kuripoti Habari na taarifa zenye maslahi ya Umma, lengo likiwa ni kuhamasisha Utawala Bora na Uwajibikaji, Jijini Dar es Salaam.

Warsha hiyo ya siku moja ilifanyika kwenye Hoteli ya Protea, Februari 19, 2025, ambapo Washiriki waliuliza maswali, walibadilishana uzoefu na kugusia ufahamu wao kuhusu lengo husika.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…