Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,236
- 10,774
JamiiCheck ilianzishwa kama jukwaa la kijamii linalowezesha wananchi kuwasilisha taarifa zinazowatia mashaka kwa lengo la kupata msaada wa uthibitishaji.
Kupitia huduma hii, wataalamu na wachambuzi wa habari huchunguza vyanzo, kulinganisha ushahidi, na kutoa majibu sahihi kwa wananchi. Hatua hii inasaidia kupunguza kasi ya usambazaji wa taarifa potofu na kuimarisha imani ya jamii katika upatikanaji wa habari thabiti.
Kwa muktadha huu, najiuliza kwa sauti ya kinyonge sana, kama mtu angeuliza kuhusu picha zile za Kibonge kujiachia kwenye masofa ya Ikulu pamoja na kupiga picha zenye utata, je Jamii Check walipaswa kuzungumza uongo ili kuficha ukweli?
Ninafahamu na nitakubaliana na watu wengi humu ndani kuwa mpaka taarifa inafika JamiiCheck na kuthibitishwa basi imefanyiwa kazi. Kama Kibonge naye amepost picha hizo hizo, je JamiiCheck walipaswa kusema ukweli au uongo** kuhusu picha hizo?