Jamiiforum: Mwaipopo ni nani kama msemaji wa serikali na CCM.

Jamiiforum: Mwaipopo ni nani kama msemaji wa serikali na CCM.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Moderator msibadilishe kichwa cha habari wala kukilemba.

Tunaomba kujua na tunaka mtueleze serikali maana sasa ndio msemaji wa serikali upande wa msigwa.

Anaweza kuitisha vyombo vya habari na tunajua ukiitisha lazima uwalipe posho.Je hizo pesa anapata wapi.

Kuwa na kikundi chake cha mbwa mwitu ,Je jeshi la polisi lishawahi kumuita na kumuoji.Mbona kuna shabiki wa simba aliwahi tu kusema neno jeshi likamuita haraka ina maana baraka zipo toka polisi na usalama.

Na kwa nini viongozi wastaafu wakubwa uwapa vitisho na hata ambao hawapo na mambo ya serikali,yeye ni nani.

Tunachoomba polisi na msemaji mtupe majibu maana mshakuwa kama mumepoteza muelekeo.
 
Jenerali Sheikh Alhadji Mwaipopo-Kamanda na (naibu msemaji wa mkuu wa ikulu) kikosi cha mbwamwitu nchini Tanzania.
 
watu wachache wanatufanya WaTz wote tuonekane hamnazo.
kama taifa tunapatwa na aibu sana
 
Labda ni tisi! Ndio maana anajiamini na hakamatwi akahojiwe kuhusu kundi lake la mauaji la mbwa mwitu
 
... Mwaipopo ni askari jamii a.k.a 'SUNGUMWELA', kwahiyo acha aongee kwa niaba ya askari wenzie wa kujitolea!
 
Project za chama cha majambazi kama alivyo mwandambo ama kama alivyokuwa musiba
Mi nashangaa watu kujifanya kama hawajui kinachoendelea nchini kwetu inakata sana.

Yote yanayotokea yana baraka za watawala
 
Unauliza swali lililo wazi sana, yule yupo chini ya mfumo, kila jambo analozungumza ni maelekezo kutoka juu.
 
Back
Top Bottom