Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Salaam
Moja kwa moja kwenye mada, Mods na max naombeni mnilinde. Inawezekana watu wengi hawajui labda tuanze kuwekana wazi ili vijana wengine wabunifu wajifunze na waache kukopy idea za watu.
Hivi ni kweli haya matangazo matangazo ya makampuni ya simu mnayoyaweka kama sponsored ads ndio yanalipa wafanyakazi wote ?
Najua hamuwezi kunipa/kutupa algorithm yenu yote lakini at least wachache wanao jua basi watanifungua na mimi.
Nawasilisha.