Christopher krugger
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 215
- 392
Hii itakua na wafadhili nadhani,maana matangazo ni machache sana hata ya google hamnaga humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hiyo ni sababu basi hata facebook wangepigwa bansijui kwa jamii forum.ila nachojuua kwa makampun mengine ni kwamba wewe wanauza info zako kwa companies.ujashangaa ghafla unaletewa advert ya kitu ulikua unakiwaza.uka search bas jamaa wanauza data ndio mana tikotok ikawa banned usa sabab yues wanajua info zinauzwa
Halafu ukishajua, itakusaidia nini?Salaam
Moja kwa moja kwenye mada, Mods na max naombeni mnilinde. Inawezekana watu wengi hawajui labda tuanze kuwekana wazi ili vijana wengine wabunifu wajifunze na waache kukopy idea za watu.
Hivi ni kweli haya matangazo matangazo ya makampuni ya simu mnayoyaweka kama sponsored ads ndio yanalipa wafanyakazi wote ?
Najua hamuwezi kunipa/kutupa algorithm yenu yote lakini at least wachache wanao jua basi watanifungua na mimi.
Nawasilisha.