Ban yaja.Kumbeeeee ndio maaaaaan Acha tuendelee kujuzana na kupeana maarifa, kumbe sijakosea kuanzisha huu uzi
Was katiba necessary 🤣Wabongo umbea na kufatilia maisha ya watu, kupambania katiba aahh.!!
Watu wema wapo CCM pekee.Wewe usiniombee mabaya mimi ni raia mwema hapa JF