Jamiiforum nawaomba msamaha kwa swali hili, Hivi mnapataje pesa ?

Jf ni non governmental organizations (NGO)

Wanapata mapesa mengi kutoka Kwa wafadhil wa nje ya nchi
 
Kama hiyo ni sababu basi hata facebook wangepigwa ban
 
Halafu ukishajua, itakusaidia nini?
 
Hawa sio wanategemea hela za wafadhili? Trip za mabalozi huwa hazikati pale mara Sweden mara Marekani...

Watakua wanakula fund as NGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…