JamiiForum pitieni kitabu cha Erick kabendera mje na majibu kuhusu ID ya ben saanane

JamiiForum pitieni kitabu cha Erick kabendera mje na majibu kuhusu ID ya ben saanane

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hakuna binadamu anaye chukua masaa,siku,mwezi na miaka bado tukaweza kusema majibu rahisi.

Na hii imeshakuwa desturi ambayo majibu mepesi utolewa wakati wapendwa wao mpaka leo wajawahi kupata hatma yao.

Kuna kawaida hapa JF ikitokea mtu kafariki au kupandisha hadhi inajulika.
Swali la kwanza hadhi blue tiki alipewa na nani ?.wakati huduma hii imekuja majuzi.

Swali la pili mkisha soma kitabu na kwenda kwenye familia tujue huyu mtachajua kama mnavyo wachagua memba wengine kama RIP au Heaven Life.
IMG_0965.jpeg
 
Mimi bado nina matumaini kuwa huyu Eight o'clock yupo hai somewhere.
 
Back
Top Bottom