Muda wa kifungo ilishaisha ila serikali ya sisiem si unajua Kila kitu wao wanaona kufanya ubabe ndiyo solution.Naomba kuuliza. Kwani JF ilufungiwa miezi mingapi? Kwani adhabu bado haijaisha?
Mnaharibu wale jamaa wakijua wanafanya usenge wao wafungie tutaingia vipi maana browser zingine zote wamepiga lock huingii bila vpnWakuu kama heading inavyojileza nimejaribu kuingia JF.com, kupitia app ya Operamini naona inakubali vyema kabisa.
Una haribu wao TCRA wanataka watu wasiingie huku,Natoa code Kwa ambao tunateseka na mabando tuhamir huko
Kama hayo majinga yapo ban 🙂Muda wa kifungo ilishaisha ila serikali ya sisiem si unajua Kila kitu wao wanaona kufanya ubabe ndiyo solution.
Machawa yao kina Luka,big show kipara,tlatlah na lucha yangepigwa ban hadi siku sisiem wafungulie jf.
Haiwezekani mamaako alininyima unga Jana...Leo unakuja kucheza kwetu muda wa kula. Nakutimua!!!
Kumbe? Wamefanya nini?Kama hayo majinga yapo ban 🙂
Video hazifungukiWakuu kama heading inavyojileza nimejaribu kuingia JF.com, kupitia app ya Operamini naona inakubali vyema kabisa.
Hivyo basi Kwa wale wenzangu wasiotumia VPN na wenye limited bundles tutumie Operamini