JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

hehehe hiyo ngoma ya kiranga nimeiiingiza gooogle translate masaa mawili yalopita na bado page inaniambia searching. Mzembe anaweza akamtongoza waifu wako mbele yako wee ukabaki unacheka tu ukazani anahadisia mechi ya Asanali. Kulaleki!

Wife wako ye ataelewaje kama anatongozwa! Si naye atabaki kapa kama wewe tu, labda awe ameshampa dictionary ya maneno yatakayotumika, maana duh!
 
The way Kiranga has desquemated (as a literary juggernaut), the garrulous and oftimes bucolic Mwita25, has left even the saprostromous and megacephalic Faiza Foxy decumbent and vacuous.

Mwita25 bana, unatulaza damu. Bado uko maktaba mpaka saa'ii?

Who am I to expect anything useful from a gown soldier?
 
Wewe uliyeanzisha thread kwa kutumia jina langu ni mpuuzi, mjinga na punguwani. Una mawazo mgando yaliyochanganyika na chembechembe za uwendawazimu. Ni kinara wa wodi ya vichaa ya hospitali ya Mirembe na hustahili kukabidhiwa kutunza hata kijiko kwasababu utakitafuna.
hey if you are the champ then dont panic,just step in the ring to fight so to win your competitor.
 
Kweli waswahili tu washabiki.... Yaaani maelezo yoote yale I thot kua NN na FF ndo wamajaza page zooote kwa mabishano.... Kweli Tanmo anajua kuuza gazet la udaku, kanini usiseme tu nianzia page mbili hapo nyuma....lol
 
hii aibu aliyoipata Mwita sidhani kama atakuwa ana hamu na JF katika siku za karibuni!sijui aje kwa style ipi ili washabiki wamuelewe manake kila atapotokea au kujitia ujuaji washabiki lazma wamtishie watamuita Kiranga na hivi wabongo walivyokuwa hawasahau matukio ya kutia aibu!!!!mwitaaaa!!!kiranga huyooooo!!!hapo lazima atakuwa anaaply nduki nene..
 
Muuza Sura,

Toka lini "Mwita" akawa na aibu? Hata kwenye lugha zao, hao kina "Mwita" hakuna neno aibu.
 
Muuza Sura,

Toka lini "Mwita" akawa na aibu? Hata kwenye lugha zao, hao kina "Mwita" hakuna neno aibu.
Nataka nianzishe thread ya debate ya "kiswahili sanifu" kati yako na Kiranga...Mada chaguwa wewe.
Hii kiswahili ya Kiranga hapo chini mnafaa nyie mdebate, mi Mangi siwezi hiyo...

Kiranga said:
Nitaanza kwa kumuhoji mtoa mada kwa nini anafikiri mdahalo kwa kupitia lugha isiyo mantiki wala uwiano wa kihesabu katika sheria za nomino kama Kiingereza unafaa zaidi kuliko katika lugha yenye kueleweka na wengi, iliyo na urahisi wa kueleweka na mantiki lukuki kama Kiswahili?

Zaidi ya hayo, unachotaka kufanya ni nini? Kama unataka kufanya watu wacheze kama wanasesere ili wengine wacheke mie sio kazi yangu na wala ngoma hizo siwezi.

Kama kuna kingine cha ziada tuambizane.
 
Muuza Sura,

Toka lini "Mwita" akawa na aibu? Hata kwenye lugha zao, hao kina "Mwita" hakuna neno aibu.
huko alipo atakuwa anamlaani sana aliyeanzisha huu uzi!kama namuona vile alivyokosa raha!nimegundua akikiuka maadili tu humu JF huyu mwita asipigwe ban bali aitiwe kiranga basi hapo atajipa ban yeye mwenyewe!
 
uzuri wa matusi ambayo huyaelewi huwa hayaumizi mgongo

maneno yapo tu hata kwenye kanga na tunazifikicha na kuzisuuza, tunazikung'uta, anika, piga pasi na kuzivaa wakati wa kuoga

kama kwenye keki yapo na tunazila vile vile

nilitaka kukujuza si kila jiwe ni gumu, talc ni jiwe linalotengeneza poda wazotumia akina mama kwa urembo, sijui umedhani nimeenda google

lako hilo hangaika nalo
...between scylla and charibdis in the straight of messina in sicily! Its greek mythology on Oddysseus story.
 
Chinga la Kiranga ni Bluray,akitokea hapa lazima Kiranga akimbie
 
Permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity.


Mkuu, hilo gozo Cuban nini?
 
Back
Top Bottom