JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

Bu'yaka in fact I believe "Hodgepodge of potpourri" is OK as long as you remove the "a" part....

Kwa nini "hodgepodge of potpourri" iwe sahihi lakini "hodgepodge of a potpourri" isiwe sahihi?

Nikiwa na a potpourri, nikaja nikalichanganya zaidi ki- hodgepoge, hiyo si "hodgepodge of a potpourri" ?
 
Even 'hodgepodge of potpourri' is still tautological.

It is just the same as saying 'beginner who has just started'.

Remember, it's not grammatically incorrect. It's just repetition in a way that is not necessary.
 
Mtazamaji umedata wewe. Eti nini?

hahaha unajua NN sijamsoma buyaka alimaanisha nini alafu nikakosea nikaandika kile nilichokuwa nafanyia mazoezo ya intonation yake Hojipoji potpuri.

Ila thanks naona umeweka muongozo unaoeleza hata jinsi ya kukunja kunja ulimi wakati unayatamka hayo maneno
 
Even 'hodgepodge of potpourri' is still tautological.

It is just the same as saying 'beginner who has just started'.

Remember, it's not grammatically incorrect. It's just repetition in a way that is not necessary.

Nimeelezea hapo juu kwamba hodgepodge ni Anglo na Saxon na Potpourri ni Latin/ other Indo-European languages.

Kwamba hiyo apparent repetition iko validated kwa sababu ina denote layers za concoction hii inayoitwa Kiingereza.

Sijaona mtu ku address hii angle.
 
Kwa nini "hodgepodge of potpourri" iwe sahihi lakini "hodgepodge of a potpourri" isiwe sahihi?

Nikiwa na a potpourri, nikaja nikalichanganya zaidi ki- hodgepoge, hiyo si "hodgepodge of a potpourri" ?

Potpourri nilichukulia ni ile ya msosi... Na msosi huo does not qualify kuitamka "a potpourri" as opposed to "potpourri"

Nikichukulia Potporri kama hio tafsiri ya Ngabu ule ukamilisho wa huo mchanganyiko ndo waitwa "a potpourri" Hivo Hodgepodge yaweza tumika kama ulivo itumia "Hodgepodge of a potpourri"

Ila take note I took it for granted kua you meant the first Potpourri for it has more hodgepodges' than the second popourri
 
Mbona hizo ni definitions mbili tofauti?
 
Even 'hodgepodge of potpourri' is still tautological.

It is just the same as saying 'beginner who has just started'.

Remember, it's not grammatically incorrect. It's just repetition in a way that is not necessary.

Ngabu it may seem tautological when siphoned literally.... They are two separate entities having an almost similar "meaning in the mind perceiving" but completely different as much as both are on the basis of the disorderliness of the entity itself.
 
So you are saying that I'm wrong, correct?
 
Lakini Nyerere alikuwa na mtizamo tofauti kuhusu matumizi ya lugha ya Kiingereza, angalia nukuu yake hapa chini.

"Tunao waswahili ambao jambo la kipumbavu likisemwa kiingereza lionekana la maana sana" J.K. Nyerere
 
Kama kweli alisema hivyo, ninakubaliana naye.
 
Hivyo eeh? Haya basi nimekosea.

Kumbe elimu kupitia mtandao ina challenge zake. Sasa umekosea nn tena NN au hutaki debate na Mangi lol . Hapa sasa kweli nimetada sijaelewa wich is right or wich is left kwa hiyo hojipiji of pot pouri .

But atleast nimetoka na mchonganishi
 
So you are saying that I'm wrong, correct?

Saying YES you are wrong would be too general and it would be a wrong answer.... Your post carries weight on the following.

  1. Hodgepodge can not be used with (a) Potpourri.
  2. You gave an example of "beginner who started" it is an unfair example to the matter.
  3. I qoute: "t's not grammatically incorrect. It's just repetition in a way that is not necessary"

I would say YES you are wrong to think tha "Hodgepodge and Potpourri" can not be used in the same line.
I would say NO you are not wrong with numbe 2 & 3
 
Kumbe elimu kupitia mtandao ina challenge zake. Sasa umekosea nn tena NN au hutaki debate na Mangi lol . Hapa sasa kweli nimetada sijaelewa wich is right or wich is left kwa hiyo hojipiji of pot pouri .

But atleast nimetoka na mchonganishi

Kuna watu wengine inabidi tu kuwakubalia aisee. Chochote atakachosema we unakubali tu. Hupungukiwi na kitu ukimkubalia.
 
Kwa nini hodgepodge na potpourri hayawezi kutumika katika same line?

Nikiwa na potpourri nikaifinyanga kui-hodgepodge sijapata "hodgepodge of a potpourri"?
 
Kuna watu wengine inabidi tu kuwakubalia aisee. Chochote atakachosema we unakubali tu. Hupungukiwi na kitu ukimkubalia.
Hapana, ni kweli they are different, usijidai kuyeyusha, ndo zetu wabongo, ama sijui miafrika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…