JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

I like your proposal, However the problems on the reliability on the internet services some of us use, I think at-least 5 minutes is more appropriate instead of the proposed 2 minutes.
 
tangu huu mwezi uanze
leo umeongea point ambayo nimeipata bila chenga

mie hapa nilikuwa napita naona oxford dikshenari tuuuu

haya endeleeni na mpambano

wish you luck!
Huu uzi haustahili kuwekewa sticky.

Hapa ni porojo tu na kujionyesha nani anajua misamiati gani na kuandika madudu yasiyoeleweka.
 
tangu huu mwezi uanze
leo umeongea point ambayo nimeipata bila chenga

mie hapa nilikuwa napita naona oxford dikshenari tuuuu

haya endeleeni na mpambano

wish you luck!

Asilani! Mi mdahalo na majiniasi ntauwezea wapi? Nasepa zangu mimi.
 
Teh teh teh...I've got to pick on you just a bit.

What is "kiirengeza"? Lol....

Uchokozi tu.
Kiirengeza ni lugha mliyotumia humu (hot pot puree,joji poji huree), ndio maana wengine wanaomba definition kila wakati.
 
mods you should sticky huu uzi
Na mimi nimepata angalau pakusemea, samahani lakini kwa kukukosoa: Nadhani ingependeza zaidi ungetumia : I think you should stick huu uzi. Ndio zi unakua sticky.
haya sasa, na mimi naonekana natoa kamchango. lol
 
Kwa mtazamo wangu kufanya thread kama hii kwenye chit chat kuwa sticky ni sawa na mtu kutaka kugeuza kijiwe cha kahawa kuwa hoteli ya kitalii.
 
Taarab,

Mpewa hapokonyeki, aliyepewa kapewa X2
Wewe ukifanya chuki, bure unajisumbuwa X2

Aliyepewa kapewa naapa hapokonyeki
Kwa alicho jaaliwa,Wallahi hapunguzuki X2

Kwake ikiliya ngo bure unajipa dhiki X2

Wa tisa humpa tisa, wamoja haongezeki X2

Alomyima kabisa pindi akitaharuki
Mola mtowa hidaya mambo yote kamiliki

Kwa alomtunukia huwa ndio yake haki
Na asiye mtakia huwa si yake laini

Mpewa hapokonyeki aliyepewa kapewa X2
Wewe ukifanya chuki bure unaji sumbuwa X2
 
Kwa mtazamo wangu kufanya thread kama hii kwenye chit chat kuwa sticky ni sawa na mtu kutaka kugeuza kijiwe cha kahawa kuwa hoteli ya kitalii.

This chicanery / charade of a charismatic Christmas chorus chant sprinkled with cantankerously caustic contrarian's combustions can't cut it in a cutthroat cakewalk.
 
This chicanery / charade of a charismatic Christmas chorus chant sprinkled with cantankerously caustic contrarian's combustions can't cut it in a cutthroat cakewalk.

Wewe ndio ulimshauri yule binti atumie google translator?
 
This chicanery / charade of a charismatic Christmas chorus chant sprinkled with cantankerously caustic contrarian's combustions can't cut it in a cutthroat cakewalk.
kiranga but be informed and alerted when it comes to this english Language . U cant me.
Mtazamaji is fire ohoooooo lol

Be back kesho in a full englishized d mode . Mean time anyone can respond to kiranga's meesage above

baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…