Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
Duhu, hapa hata Wole Soyinka hasogelei. Mwita25 aisee tokea basi ujibu mapigo!Permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity.
Sasa nitaanza kupayuka Kiranga boma ye! (Hivyo ndivyo wakongo walivyomhamasisha Mohammed Ali wakati alipozipiga na Joe Frazier huko Kinshasa, Zaire, mwaka 1974 kwenye lile pambano la Rumble in the Jungle)
Permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity.
Mweee
Please my fellow member of the floor help me if this town speaker kiranga is saying bad words some tell me. Or if is insulting villagers then asubiri Spaeker wa life in village naye aseme
Sawa Mkuu kwa hiyo hii sasa inakuwa Thrilla in Manila!Alikuwa ni Foreman mkuu
Permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity.
Niruhusu furaha kunyakua yangu vijiti sootless nje ya humidor hazily hued na evade eerie effable uganga ephemeral na equanimity enviable wakati kujiingiza kutoka pantomime hii putrid pungent pugilists, kwa soliloquy somber ya sanity faragha.
Dah! hapo kwenye red umenikumbusha practical za chemistry "PUNGENT & CHOKING SMELL"
​bhita ni bhita muraa......unakura kichuriii mbona unahasira muraWewe uliyeanzisha thread kwa kutumia jina langu ni mpuuzi, mjinga na punguwani. Una mawazo mgando yaliyochanganyika na chembechembe za uwendawazimu. Ni kinara wa wodi ya vichaa ya hospitali ya Mirembe na hustahili kukabidhiwa kutunza hata kijiko kwasababu utakitafuna.
Baada ya kutafuta sana ni kwamba anaomba mmruhusu kutuacha na ka furaha ketu hapa bassement tulipo, anaenda kukaa peke yake aweze kuendelea na mazoezi ya kiakili zaidi.Mweee
Please my fellow member of the floor help me if this town speaker kiranga is saying bad words some tell me. Or if is insulting villagers then asubiri Spaeker wa life in village naye aseme
Hii mechi ilitakiwa Kiranga acheze na jamaa mmoja unamkumbuka kwenye thread moja huko nyuma watu walikuwa wanalalamika Kiranga kutumia Kingereza kigumu. I forgot his/her ID though alikuwa na avatar ya mwanajeshi wa Southern Sudan.
Hicho cha Kiranga ni king'eng'e cha kibritish sio kimarekani!Japo mi tanzanian american lakin maneno mengi ya kiranga sijayapata poa,du! Inafaa nisomee language niache hii ya mitaani
Dah! hapo kwenye red umenikumbusha practical za chemistry "PUNGENT & CHOKING SMELL"
Baada ya kutafuta sana ni kwamba anaomba mmruhusu kutuacha na ka furaha ketu hapa bassement tulipo, anaenda kukaa peke yake aweze kuendelea na mazoezi ya kiakili zaidi.
Sawa Mkuu kwa hiyo hii sasa inakuwa Thrilla in Manila!
Sasa unabisha mkuu? Na hiyo shocking smell ndio harufu ya bassement yetu! lolKweli?