Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
kwa kweli huu mpambano ulikuwa ni unfair kwa Mwita from the get go. Haiwezekani kusema mjadala uwe wa Kiingereza bila kukubaliana tunataka wakuu wetu hawa wazungumzie nini. Kiranga anaweza kuzungumzia masuala ya particle/quantum physics as well as existential questions with such eloquence kama kumeza uji uliowekwa blue band! Mwita anaweza kutetea vizuri sana CCM na mambo yanayofanywa na serikali yake.
Sasa, labda tuwachagulie hoja ya the 'THE FUTURE OF CCM TOWARDS 2015 IS IN STAKE - WILL KIKWETE SAVE HIS PARTY AND THE PRESIDENCY?" Na kutoka hapo wajimwage mwage - assuming the two will take differing positions. Lakini bila kuwapa cha kushindania ni wazi Mwita ataangushwa raundi ya kwanza.