Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Nitaanza kwa kumuhoji mtoa mada kwa nini anafikiri mdahalo kwa kupitia lugha isiyo mantiki wala uwiano wa kihesabu katika sheria za nomino kama Kiingereza unafaa zaidi kuliko katika lugha yenye kueleweka na wengi, iliyo na urahisi wa kueleweka na mantiki lukuki kama Kiswahili?
Zaidi ya hayo, unachotaka kufanya ni nini? Kama unataka kufanya watu wacheze kama wanasesere ili wengine wacheke mie sio kazi yangu na wala ngoma hizo siwezi.
Kama kuna kingine cha ziada tuambizane.
ilooooooo limeogopa.
