JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

Duh, nimesikitika sana upupu kama huu kunipita kwa kiwango hiki

Hivi kweli Consigliere na Rejao mmeshindwa kuniPM nijiunge hapa
Afu mie ningewapambanisha nyie Consi(Village) vs Rejao (born town)
Poa haina noma....Mimi nipo tayari lakini tushindane kwenye PM, majibu tutawaleteeni hapa.
 
Pundit,Blueray,kiranga hawa wanafanana sana,wako deep kwenye Quantum Physics,Mama na Kuhani pia wako deep.Kuna uzi mmoja ulikuwa unahusu Electrons aisee Pundit,mama na kuhani walimwaga shule hadi basi
Angalia usije ukawa unamzungumzia mtu mmoja.....
 
Tatizo lako huwa unaongea ukiwa siriaz
Unatakiwa kustand at ease, legeza mwili
Afu usikiri sana, neno lolote la kizungu linalokuja wee liongee tu
msikilizaji atachambua yanayomhusu hadi apate maana

Huo Mpambano wenu mnaruhusiwa kuchagua lugha mnayoitaka...ila si kiinglishi..
 
Sasa kwani waifu naye ataelewa?
Atadhani katukanwa kiyunani
hehehe hiyo ngoma ya kiranga nimeiiingiza gooogle translate masaa mawili yalopita na bado page inaniambia searching. Mzembe anaweza akamtongoza waifu wako mbele yako wee ukabaki unacheka tu ukazani anahadisia mechi ya Asanali. Kulaleki!
 
Permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity.
Gadem!
Google translator imenambia hapa anazungumzia mgomo wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dsm
Dikshenare ya Oxford inanambia ni tafsiri ya wimbo wa Mugabe wa kuombea kura
Mwalimu wangu wa kiinglishi wa sekondari amenambia hii langueji iliyomwagwa hapa haiko kwenye silabasi ya kiinglishi cha sekandari....

Khaa!
 
hehehe hiyo ngoma ya kiranga nimeiiingiza gooogle translate masaa mawili yalopita na bado page inaniambia searching. Mzembe anaweza akamtongoza waifu wako mbele yako wee ukabaki unacheka tu ukazani anahadisia mechi ya Asanali. Kulaleki!
Hahahahaha..... kulaaleki.... huyu jamaa anaweza kuwa anamwaga kispaniola hapa.... haiwezekani hata kusoma tu ulimi wangu umegoma.....
 
Gadem!
Google translator imenambia hapa anazungumzia mgomo wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dsm
Dikshenare ya Oxford inanambia ni tafsiri ya wimbo wa Mugabe wa kuombea kura
Mwalimu wangu wa kiinglishi wa sekondari amenambia hii langueji iliyomwagwa hapa haiko kwenye silabasi ya kiinglishi cha sekandari....

Khaa!

Huyo speaker gaijin wenyewe kaingia mitini pia. Dah!
 
Hahahahaha..... kulaaleki.... huyu jamaa anaweza kuwa anamwaga kispaniola hapa.... haiwezekani hata kusoma tu ulimi wangu umegoma.....
Umeongea pwenti fellow tablet, isje ikawa jibaba kataja listi ya timu ya taifa ya vietnam halaf sisi tuko bize kuingiza kwenye google translate
 
Umeongea pwenti fellow tablet, isje ikawa jibaba kataja listi ya timu ya taifa ya vietnam halaf sisi tuko bize kuingiza kwenye google translate
Hahahahah.... khaa! Ntamshtaki kwa Mizengo Pinda..... haiwezekani nipoteze muda kwenye dikshenari kutafuta translation ya majina ya kilatini ya taifa stars ya Vietnam.....tena timu ya wanawake.
 
Hehehehe! Gaijin amezoea kiinglish cha shule za kata.... kulaaleki hapa labda aje Keren_Happuch au RussianRoulette

Keren Happuch huyu wa mzee ayubu? hehehee labda aje atupatie viitikio vya kwaya
 
Hilo neno la saba ni la kwenye chemistry form one
Luminous flame and non luminous flame
Hiyo ilikuwa sifa ya non luminous flame
Au kata yenu haikuwa na bansen bana?

Afu hayo mawili ya mwisho ni ya psychologiall kitabibu au magereza ivi
Sasa kama hukusoma biology na criminology hayo nayo yamekupita kando

Umeongea pwenti fellow tablet, isje ikawa jibaba kataja listi ya timu ya taifa ya vietnam halaf sisi tuko bize kuingiza kwenye google translate
 
hehehe hebu tukumbushie na akmidiz prnsipo
Aisee fellow tablet mi naona tuhamie MMU, hapa naona watu wameshaingia mitini kwa hii debate yetu hapa.....ngoja nikamuamshe Mbu na MwanajamiiOne watuaznishie sredi ya heri ya Christmas na hepi nyuu yia. (angalizo nyuu yia = mwaka ujao kwa mujibu wa kimombo cha awamu ya kwanza)
 
Back
Top Bottom