Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,064
hehehe hiyo ngoma ya kiranga nimeiiingiza gooogle translate masaa mawili yalopita na bado page inaniambia searching. Mzembe anaweza akamtongoza waifu wako mbele yako wee ukabaki unacheka tu ukazani anahadisia mechi ya Asanali. Kulaleki!
uwanja wenu Tablets...nikiwasoma nacheka tu!!!:lol::lol::lol::lol:Gadem!
Google translator imenambia hapa anazungumzia mgomo wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dsm
Dikshenare ya Oxford inanambia ni tafsiri ya wimbo wa Mugabe wa kuombea kura
Mwalimu wangu wa kiinglishi wa sekondari amenambia hii langueji iliyomwagwa hapa haiko kwenye silabasi ya kiinglishi cha sekandari....
Khaa!