JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

Nitaanza kwa kumuhoji mtoa mada kwa nini anafikiri mdahalo kwa kupitia lugha isiyo mantiki wala uwiano wa kihesabu katika sheria za nomino kama Kiingereza unafaa zaidi kuliko katika lugha yenye kueleweka na wengi, iliyo na urahisi wa kueleweka na mantiki lukuki kama Kiswahili?

Zaidi ya hayo, unachotaka kufanya ni nini? Kama unataka kufanya watu wacheze kama wanasesere ili wengine wacheke mie sio kazi yangu na wala ngoma hizo siwezi.

Kama kuna kingine cha ziada tuambizane.

ilooooooo limeogopa.
 
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.

Permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity.

khaa!.......hii lugha ni ya dunia hii hii au.........
 
Jamani hivi anayoandika Kiranga ni kingreza kweli?

NN naona wewe alhamdulillah...uwe unatupa tafasiri basi. Kuna mahali nimeambulia neno 'individual'
 
Wewe uliyeanzisha thread kwa kutumia jina langu ni mpuuzi, mjinga na punguwani. Una mawazo mgando yaliyochanganyika na chembechembe za uwendawazimu. Ni kinara wa wodi ya vichaa ya hospitali ya Mirembe na hustahili kukabidhiwa kutunza hata kijiko kwasababu utakitafuna.

kumbe kiinglish cha mashindano huwezi.
 
waliokaa huko mbele watuambie mwita25 amekuwaje,alafu hii mechi mbona ya upande mmoja sana?
 
Acha kukurupuka dogo...fuatililia post zake uzisome uone kama utaelewa kitu!!!!

da!! Aisee this is sheer parochial absurdity together with putrid pungent pugilists pantomime...yesuuuu na maria!!
 
Mwita hawezi kuja tena, umeona alivyo panic na kuvurumusha matusi?

Mechi kakimbia, si knock out kwasababu hakushiriki, thats the only we can cut him some slack!

Kiranga prevailed, there's no doubt on that...

Ofcourse bombastics za hawa watu ni tofauti, hii ni kutokana na experience yangu binafsi humu.

Kiranga is a genius kama ni kweli anazungumza lugha takriban nne(stand to be corrected by him/her), pamoja na uelewa wake kwenye science( this i have somewhat proved), lakini shangaa tuna viongozi vilaza na huyu mtu ndie mwananchi wa kawaida...

Tanzania hawajui kabisa ku utilize vipaji vya wananchi wake ndo maana linchi ni masikini na litaendelea kuwa hivyo!
 
quote_icon.png
By Kiranga
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.

quote_icon.png
By Kiranga
Permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity.

...Yaani kustudy kote kule ..nimetoka kapa......Ila Mwita25 kama vipi omba msaada hata FF?
 
Mechi kakimbia, si knock out kwasababu hakushiriki, thats the only we can cut him some slack!

Kiranga prevailed, there's no doubt on that...
Ushasema mwenzie hakushiri, sasa itakuwaje tena "Kiranga prevailed"?
Kiranga is a genius kama ni kweli anazungumza lugha takriban nne(stand to be corrected by him/her), pamoja na uelewa wake kwenye science( this i have somewhat proved),
Ukiongea kizigua cha babaako na kidengeleko cha maamako na Kiswahili ulichokulia unaongea na kizungu cha kujifunza shule hizo ni lugha nne, hiyo inakufanya "genius"?
lakini shangaa tuna viongozi vilaza na huyu mtu ndie mwananchi wa kawaida...
unajuaje ni mwanachi wa kawaida"?
Tanzania hawajui kabisa ku utilize vipaji vya wananchi wake ndo maana linchi ni masikini na litaendelea kuwa hivyo!
Au yeye ndio haji utilize kwa nchi yake? Wafanyeje, wamfate nyumbani wamteue Waziri wa lugha nne?

Una ma assumptions kibao mazee, kuwa makini kidogo
 
Mwita njoo bhana, huyu Kiranga kiinglishi chake sio fasaha, leta mavitu ya pale kusini mwashariki mwa londoni, Kiranga anaongea hapa nje ya mada, njoo umrudishe mstarini
 
Mwita hawezi kuja tena, umeona alivyo panic na kuvurumusha matusi?

Mechi kakimbia, si knock out kwasababu hakushiriki, thats the only we can cut him some slack!

Kiranga prevailed, there's no doubt on that...

Ofcourse bombastics za hawa watu ni tofauti, hii ni kutokana na experience yangu binafsi humu.

Kiranga is a genius kama ni kweli anazungumza lugha takriban nne(stand to be corrected by him/her), pamoja na uelewa wake kwenye science( this i have somewhat proved), lakini shangaa tuna viongozi vilaza na huyu mtu ndie mwananchi wa kawaida...

Tanzania hawajui kabisa ku utilize vipaji vya wananchi wake ndo maana linchi ni masikini na litaendelea kuwa hivyo!
Hapa sikuelewe Jmushi1...inamaana mtu kufahamu lugha nyingi na kuongea bombastics ndio kigezo cha kuwa kiongozi mzuri?
 
All those who I have talked to has requested anonymity, else I would have their names displayed here, as an echo and a regard to their contributions.

Ila mmoja aliyeomba nisahau kuwa nimefanya naye mahojiano alinitafsiria hivi:

The pure narrow-minded fulishness of this old contingent of a lightly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave motiveless for respect of individuals- at funny unexpected eccentricity of wasting time on such a trenched proportions.

Naombeni maji ya kunywa kwa kuweza kunukuu....
 
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.
aiseeeee.......hihihihihihihi hizi lugha zinatutia njaa aiseee
 
Bro..Mwita25..chukua hi.....i"kukimbia pambano sio kushindwa/kumuogopa mpinzani bali kujipanga kwa pambano lijalo"...umetuangusha Poti
 
Permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity.

Hapa anahimiza serikali kuliangalia upya suala la katiba mpya

The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.

Hapa anaomba dua. Tuitikieni Amen
 
Back
Top Bottom