JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

This chicanery / charade of a charismatic Christmas chorus chant sprinkled with cantankerously caustic contrarian's combustions can't cut it in a cutthroat cakewalk.
Kumbe kuna match ingine leo? dah! :confused2:
ngoja nikatafute kamusi. lol
 
Or Kiranga,What you write is a deception. Neither neither vocabulary nor grammatically correct, though grammar is not a rule of writing understandably but matters it is a most.Thus is an open challenge, FF is using neither electronic nor thometic dictionary.
 
Or Kiranga,

What you write is a deception. Neither neither vocabulary nor grammatically correct, though grammar is not a rule of writing understandably but matters it is a most.

Thus is an open challenge, FF is using neither electronically nor thometically dictionary.

Au Kiranga,

Nini kuandika ni udanganyifu. Wala wala wala grama msamiati sahihi, ingawa sarufi si utawala wa kuandika vyema lakini mambo ni wengi.

Hivyo ni changamoto ya wazi, FF ni kutumia wala umeme wala thometically kamusi.
 
Hii thread naomba ifutwe. Halafu sikieni nyie watu wa JF: naomba muanzishe sheria ya ku-limit members kuwaanzishia thread members wenzao. Haiwezekani kila siku watu wawe wananianzishia thread mimi tu, kwani mimi nimekuja kuuza jina humu?

kuna muda huwa sikuelewi kabisa NN..
 
Or Kiranga,What you write is a deception. Neither neither vocabulary nor grammatically correct, though grammar is not a rule of writing understandably but matters it is a most.Thus is an open challenge, FF is using neither electronic nor thometic dictionary.

This swaggering smattering , swashbuckling and shady showboating should shatter any shoddy showman's schizophrenic shroud to smithereens in a splashing swashway
 
Kwa wale msioelewa . . . . .

Hii smattering tambo, swashbuckling na showboating shady lazima shatter baya showman yoyote ya schizophrenic sanda kwa smithereens katika swashway splashing
 
Hii thread naona kila saa inabadilishwa title!!
 
Kwa wale msioelewa . . . . .

Hii smattering tambo, swashbuckling na showboating shady lazima shatter baya showman yoyote ya schizophrenic sanda kwa smithereens katika swashway splashing

A split second splashing swashay at that.
 
Au Kiranga,

Nini kuandika ni udanganyifu. Wala wala wala grama msamiati sahihi, ingawa sarufi si utawala wa kuandika vyema lakini mambo ni wengi.

Hivyo ni changamoto ya wazi, FF ni kutumia wala umeme wala thometically kamusi.

Nakuona, ni mkalimani wa kimataifa. Inabidi utupe sekunde kumi za ku edit makosa.
 
This chicanery / charade of a charismatic Christmas chorus chant sprinkled with cantankerously caustic contrarian's combustions can't cut it in a cutthroat cakewalk.
cakewalk inawezaje kuwa cutthroat?

Chicanery na charade yana maana ile ile, isitoshe kwenye uandishi mzuri wa lugha huwezi kutumia mikwaju kuwasilisha maneno yale yale (This chicanery / charade). Chagua moja.

Chorus na Chant hapo ni marudio rudio ya maana ile ile, yanayofanya sentensi isomeke kama silly. Hiki Kiingereza chako ni broken!
 
Obviously you did not get the cutthroat cakewalk dichotomy, some things can't be taught, you either have them or not.

I thought we went through this before, au unahitaji tuition? The repetition conveys a repetitive degree of how this mess, this whole hogwash of a hullaballoo is compounding. Mie sijasema najua Kiingereza, tulishakubaliana tangu mwanzo kwamba hii hapa ni circus, sasa wewe nakuhurumia unavyotaka kuja all serious katika thread ya watu wanao-compose vacuous vomitous and venomous vogon verses.
 
Cakewalk inawezaje kuwa cutthroat?
 
Cakewalk inawezaje kuwa cutthroat?

Katika zile cakewalks, ambazo zote ni rahisi, kuna nyingine cakewalk za cakewalk, na katika hizo hizo, kuna nyingine kwa ugumu, ingawa sio ngumu per se, lakini miongoni mwa cakewalks, ziko juu, hizo ndiyo cutthroat katika set hiyo.

Ujumbe kwa wenye perception ya kuelewa hilo ni kwamba, hiki ki thread hakifai kuwekewa sticky status kwa sababu hata kikiwekwa katika sehemu yenye standard ndogo tu, kwenye cakewalk, kina fail, hakiwezi kuingia katika kiwango cha cutthroat competition hata katika cutthroat level ya cakewalk.

I hope you dont have to do trigonometric tricks and Siamese sommersaults kuelewa hilo. As if this was some new revelation of some wave particle duality hot of the press breakthrough expressed in Chinese logic.
 
Katika zile cakewalks, ambazo zote ni rahisi
Kama unakubali cakewalks zote ni rahisi basi huwezi kuwa na cutthroat cakewalk. Hiki Kiingereza chako kimevunjika.

Unasanya sanya maneno yasiyoendana unayaweka pamoja yanakuwa kama mtori wa chumvi na sukari.

Soma ulichoandika kama kinasomeka vema kabla ya kukianika.
 
Hata katika wajinga, kuna mjanja wa wajinga. Hata katika pond la small fish, kuna the biggest small fish. Ukielewa hayo, utaelewa concept nzima ya "cutthroat cakewalk". Cutthroat cakewalk = the biggest small fish.

Sasa mimi nasema "The biggest small fish" wewe unauliza "How can a small fish be big?"

Usipoelewa hapo utahitaji msaada wa special education professional.

Usilete habari za kukariri hapa.
 
cakewalk inawezaje kuwa cutthroat?

Chicanery na charade yana maana ile ile, isitoshe kwenye uandishi mzuri wa lugha huwezi kutumia mikwaju kuwasilisha maneno yale yale (This chicanery / charade). Chagua moja.

Chorus na Chant hapo ni marudio rudio ya maana ile ile, yanayofanya sentensi isomeke kama silly. Hiki Kiingereza chako ni broken!

Lakini Bu'yaka hapa watu si tuna have fun tu? Mbona uko serious ki hivyo?
 
Back
Top Bottom