JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

Lakini heading ya thread inasema "language debate", sasa labda tuambiane Kiswahili hakimo kwenye 'languages'

Tanabahi: siwezi kuuliza jambo linalonitatiza kwenye lugha ya Kiswahili kwa kutumia lugha nyengine kama Kiingereza
 
@ Ngabu

Hiyo orodha ambayo jina lako hujaliona, ipo wapi tukaihariri?
 
FaizaFoxy na wenginewe

tunasikia kulingana na tareikh ya Kiislam kuna mtu anaitwa Abu Jahl yaani Baba wa (la) Ujinga. Sasa hapa mnaweza kutupa maelezo ya kinachomaanishwa? Ni kuwa :-

1. "Ujinga wote unaanzia kwake na hivyo yeye ni mjinga kuliko mwengine yoyote"

2. "Ujinga wote unaanzia kwake na hivyo yeye anauwezo wa kuudhibiti (mjanja) na kuugawa kwa wengine?"

Tukipata ufafanuzi hapo, tunaweza kupata mwanga iki kujua "Kubwa la wajinga" ni mtu gani :A S embarassed:
 
Back
Top Bottom