JamiiForums game of the year

Kuukwaa ni jambo la aibu sana manake inadhihirisha ukosefu wa umakini.
Umakini huwa muhimu ila kuna wanaopenda kufanya kazi zao gizani kama wezi.....hahahaaa hata masweta wanayavaa gizani unadhani wataacha kuyageuza? teh hapo umakini haupo
 
Nitonye si muaminifu kwa Sweetlady kwa kuwa ni mlevi sana

Sana sana utaishia kupiga majungu mi na wewe na mlevi yaani wewe mpaka unamkatisha tamaa Amyner kwa ulevi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…