Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,534
- 11,449
Kinacholevya kinasaidia kuamsha akili we hujui tu jaribu uoneHaijaanza mpaka sasa hivi, mie huwa sikunywi chochote kinacholevya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinacholevya kinasaidia kuamsha akili we hujui tu jaribu uoneHaijaanza mpaka sasa hivi, mie huwa sikunywi chochote kinacholevya!
Kuukwaa ni jambo la aibu sana manake inadhihirisha ukosefu wa umakini.Kazini halafu hakutumia kinga....sasa anawaza km imekula kwake au kanusurika kuukwaa
Uone kama ntajaribu lol, vitu vya kujifunzia ukubwani vina madhara ati.Kinacholevya kinasaidia kuamsha akili we hujui tu jaribu uone
Uone kama ntajaribu lol, vitu vya kujifunzia ukubwani vina madhara ati.
Tena ameondoka kimya kimya.Kaubaridi kamemfanya ahamie kwa nanii hata JF hakumbuki tena
Umakini huwa muhimu ila kuna wanaopenda kufanya kazi zao gizani kama wezi.....hahahaaa hata masweta wanayavaa gizani unadhani wataacha kuyageuza? teh hapo umakini haupoKuukwaa ni jambo la aibu sana manake inadhihirisha ukosefu wa umakini.
Sweetlady ananiigisha story hapa....vipi Queen hujambo mrembo wewe?ati wasemaje weye sweetlady?
Sweetlady ni mke halali wa nitonye.ati wasemaje weye sweetlady?
Kimya kama silent mode kwenye simuTena ameondoka kimya kimya.
Wewe umeanza?Sweetlady ananiigisha story hapa....vipi Queen hujambo mrembo wewe?
Nitonye si muaminifu kwa Sweetlady kwa kuwa ni mlevi sanaSweetlady ni mke halali wa nitonye.
umeanza wewe SL.....Mi namsalimia tu dada yanguWewe umeanza?
Simu yangu toka jana inasumbua haswa kutuma na kupokea sms.Kimya kama silent mode kwenye simu
Yangu macho.umeanza wewe SL.....Mi namsalimia tu dada yangu
umakini utatoka wapi wakati hamchezi salama.Kuukwaa ni jambo la aibu sana manake inadhihirisha ukosefu wa umakini.
Sana? Huwa unamnunulia pombe?Nitonye si muaminifu kwa Sweetlady kwa kuwa ni mlevi sana
Nitonye si muaminifu kwa Sweetlady kwa kuwa ni mlevi sana
Salama huwa ananifurahisha kwenye kipindi cha BSS.umakini utatoka wapi wakati hamchezi salama.
Sana? Huwa unamnunulia pombe?