...Miss you Amyner....Ricky..
...Miss you Amyner....
Amyner umemsikia mwenzio?
Nimemsikia mwaya. He's my darling.. Ynnah upo mzima wewe?
Wewe je mzima? Mie bukher wa afya...
.Imetengemaa kweli?
.
Kweli wala sio masikhara..
2015 Kanumba alitaka kugombea ubunge shinyanga.
na angeupata bila shaka.
shaka ondoa mkuu.
.Mkuu misiba inamchanganya,mara Malawi mara Kanumba