Mengi kapandisha bei ya soda!!
"LEGEND" wimbo gan tena
Tena ilikuamini alikuwa Legend watu hawakumbuki swala la Bingu wa Mutharika watzee wanamuongelea yeye
yeye ni nani hasa mpaka aongelewe hivi?
Hivi hili game halijaisha tu!mie naomba niwe mchangiaji wa mwisho nipen zawadi yangu!
yangu au yako?mimi ndo nastahili zawadi
hii game ni nzuri zaid ya jokate mwegelo
mwengelo kweli haifikii hii game,mie ndio nafanana nayo!
mie ndio nafanana nayo ile nafasi ya kurekebisha katiba.sijui kwanini Rais hakuniona
Ngapi (saa) utalala Cantalisia? Au hulali mapema kwa sababu kesho ni mapumziko.
Nitalala asubuhi ingawa imeandikwa "ole wao wageuzao usiku kuwa mchana"! Vipi pasaka imewaachaje?
Dot com wapo facebook...
facebook kiukweli imevamiwa...hadi baby-class wako humo.
Humo humo ndio wanaanza kuharibiwa na mapenzi
mapenzi yenyewe ni kurukiana tu kama kuku!
mapenzi yenyewe ni kurukiana tu kama kuku!