JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

mie ndio nafanana nayo ile nafasi ya kurekebisha katiba.sijui kwanini Rais hakuniona

Hajakuona coz amehic ww unaishi arusha,ila mie nimekuona karibu tule japo mida hii sijui ni mlo wa saa ngapi!
 
Ngapi (saa) utalala Cantalisia? Au hulali mapema kwa sababu kesho ni mapumziko.
 
Nitalala asubuhi ingawa imeandikwa "ole wao wageuzao usiku kuwa mchana"! Vipi pasaka imewaachaje?
 
Back
Top Bottom