matumizi yake ni bora kuliko bia
mkuu usifananishe na jack daniel, bia zote si bora.....
Rejao akihama CCM atakuwa mtu safi sana ila kwa sasa atakuwa hana raha kisa sababu za CCM
magamba wapi njaa tu inamsumbua!
utakuwaje??!! mi nahisini pale tu atakapo patikana mshindi.inasumbua sana kujua mwisho wa hii thread utakuwaje...
mshindi hii hii sabuni au kuna maana nyingine?
tatu bomba hizi ni mpya lakini sio nzuri sana ziikiisha mafuta utazichukianyingine zina harufu ya strawberry...nyingine ndizi...nyingine chocolate...tatu bomba!
tatu bomba hizi ni mpya lakini sio nzuri sana ziikiisha mafuta utazichukia
Utazichukia wewe uliyejawa na chuki maana kama nakuona hapo ulivyochukia baada ya kugundua kuwa mimi ndio nitakuwa mshindi wa game hii.
imeanza lini inaisha lini sis hiyo hatujui cha muhimu apatikane the DONHii game wala hata co ya kuisha leo,nimeipotezea cku kadhaa nikijua nijarudi nakuta mshindi kumbe ndio kwanza km ndio imeanza!
imeanza lini inaisha lini sis hiyo hatujui cha muhimu apatikane the DON
The Don alijiita MwanaFa ila jina halikushika chat sana
sana tu!...the don atakua yeye bana...anatuyeyusha huyu!
Wengine ni wakorofi hata ukinyamaza watakufuata tu.Huyu jamaa enzi zile alikuwa juu sana...unakumbuka au ulikuwa bado chekechea? Enzi za Gk..prof j na wengine
Wengine ni wakorofi hata ukinyamaza watakufuata tu.
tunaelekea wiki ya 3 bila mshindi kujulikana