JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

tatu bomba hizi ni mpya lakini sio nzuri sana ziikiisha mafuta utazichukia

Utazichukia wewe uliyejawa na chuki maana kama nakuona hapo ulivyochukia baada ya kugundua kuwa mimi ndio nitakuwa mshindi wa game hii.
 
Utazichukia wewe uliyejawa na chuki maana kama nakuona hapo ulivyochukia baada ya kugundua kuwa mimi ndio nitakuwa mshindi wa game hii.

Hii game wala hata co ya kuisha leo,nimeipotezea cku kadhaa nikijua nijarudi nakuta mshindi kumbe ndio kwanza km ndio imeanza!
 
Back
Top Bottom