Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
skype umechemka, hii zawadi tunagawana wote vinginevyo naikwapua nakimbia nayo
Nayo itakua yako endapo tu utakua wa mwisho ktk uzi huu.
Huu uzi hauna mwisho
Mwisho wake ni mimi na nahitimisha, ole wake mtu aje hapa.
mazee ndio nini kumbe na wewe ni mchafuzi wa lugha?Hapa ndio nshaingia,na game inaendelea,km vp tulisongeshe tu mazee!
mazee ndio nini kumbe na wewe ni mchafuzi wa lugha?
Hii thread bado inaendelea tu? Itabidi muanzilishi aitwe kuja kuifunga rasmi..
apatikane mara ngapi we mbona huelewi tu kama mshindi ndo mimi!!??Kuifunga rasmi......aaaah wapi,hadi mshindi apatikane.
Lugha Bongo,hujawaona waheshimiwa wenye madigrii kibao na wamehaibu lugha km ndio wamehitimu 4m foo ya shule za kata.mazee ndio nini kumbe na wewe ni mchafuzi wa lugha?
kata gani? maana kule kwa naniiliu wananywea mbege
Mbege ni kinywaji kitamu kinachopatikana kule kwa wachaga.
pia naona gemu linaelekea ukingoni na mshindi ndo mimi,atakae reply atanieleza
Atanieleza kiboko yenu, mwsho wa gemu hafu nitawaambia.
Nitawaambia zawadi nitakayopewa baada ya kushinda game hii
.hii game mbona nimeshashinda kitambo!..
daily news naskia limefungiwa....ni kweli??.
Kitambo gani wakati uzi unaongezeka page daily..