Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Ghana ndio nitaenda kupokelea zawadi yangu ya ushindi
Ushindi wa kama mabingwa tarajiwa,Simba sports club?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghana ndio nitaenda kupokelea zawadi yangu ya ushindi
Mwenyewe nahitajiTena leo iwe mwanzo na mwisho kujpatia ushindi mwenyewe!
YNNAH ukishinda na mimi niko nyuma yako eeeh sawa?beibe nasty ushindi ni wa YNNAH
Sawa shem naona umeaamua kunitenga!YNNAH ukishinda na mimi niko nyuma yako eeeh sawa?
Erickb52 ndio najiandaa kumaliza game YNNAH na Cantalisia jiandaeni
Jiandaeni wote kushuhudia nikipokea zawadi yangu
macho yatawatoka sana mkishuhudia ninavyoondoka na zawadi, ila nitawagea msijali wapendwaYangu macho!
wpendwaaa mabibi na mabwanaaa....napenda kuchukua nafasi hii kumtangaza rasmi mshindi wa JF GAME OF THE YEAR 🙂clap2::clap2::clap2::A S 41::clap2::A S 41::clap2::clap2::clap2🙂...mshindi wetu ni ndugu sijui nini ....makofi tafadhali..:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41:macho yatawatoka sana mkishuhudia ninavyoondoka na zawadi, ila nitawagea msijali wapendwa
wpendwaaa mabibi na mabwanaaa....napenda kuchukua nafasi hii kumtangaza rasmi mshindi wa JF GAME OF THE YEAR 🙂clap2::clap2::clap2::A S 41::clap2::A S 41::clap2::clap2::clap2🙂...mshindi wetu ni ndugu sijui nini ....makofi tafadhali..:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41:
halijaisha halafu anajiandalia mazingira,hatutaki rushwa humu ohooo! atatoka mtu manundu:-( YINNAH mi wa hapahapa ndugu