JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

washindi sio makubaliano ya game ila ni mshindi mmoja wa jumla.
 
Milele haiwezekani, iko siku watapigwa chini na Azam au Yanga.
 
Waindikizaji wa JF game of the year utawaona tu..... Kama kina Katavi, hakuwepo kabisa.
kabisaaaaa...hapo umenena...huyu hata hajua tumetokea wapi huyu...kadandia gari kwa mbele tu....shauti yake, atashangaa atakapomuona sijui nini anaondoka na :first:....
 
Last edited by a moderator:
:first:...mbona hili kombe la YNNAH mnaling'ng'ania jaman???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom