....aisee embu acheni mambo yenu...hapa tupo kwenye game!!
Game halinogi bila haya makitu....
sijui nini kwani we unataka tunyamaze km tuko kwenye maombolezo??
Aibu tupu daah!!!
shibe itatoka wapi wakati nchi yenyewe iko chini ya kilaza...!!?Daah...!! Nawewe hii post yako haina hata shibe
shibe itatoka wapi wakati nchi yenyewe iko chini ya kilaza...!!?
kilaza mwenyewe ameexpire ubongo...lol
bora 2015 ifike haraka aondoke
Kilaza mwenyewe ameexpire ubongo...lol
Bora 2015 ifike haraka aondoke
aondoke pinda maana ni mzigo!
mzigo uliopinda
tupumzike wakati hatujachoka?
hatujachoka kwasababu hatujui km tumechoka
tumechoka mpaka tumepinda lol!
Lol, mmepinda mpaka mmechoka.[/QUOTE MMECHOKA NA HILI GEMU? MPAKA KIELEWEKE
Lol, mmepinda mpaka mmechoka.[/QUOTE MMECHOKA NA HILI GEMU? MPAKA KIELEWEKE
KIELEWEKE mara ngapi...akati kombe ninalo hapa!
KIELEWEKE mara ngapi...akati kombe ninalo hapa!
Hapa hapa jf au kwingine?