Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
tumechoka mpaka tumepinda lol!
Lol, mmepinda mpaka mmechoka.
Kwingine bila shaka. Halafu ni kombe la chai hiloHapa hapa jf au kwingine?
Kwingine bila shaka. Halafu ni kombe la chai hilo
HILO SO LENYEWE LENYEW NNALO MIE
HILO SO LENYEWE LENYEW NNALO MIE
Mie nataka nimuulize huyu Kiboko Yenu aliwaza nini hadi kutuletea hii thread ambayo haina mwisho?
Mie nataka nimuulize huyu Kiboko Yenu aliwaza nini hadi kutuletea hii thread ambayo haina mwisho?
Mwisho wake utafika siku si nyingi
Kidole cha shahada mashahlah chameremeteshea na dhahabu yenye Tanzanite
Tanzanite madini ambayo hupatikana Tanzania
Tanzania yetu maskini imekuwa tanzagiza lol!
Hivi we Kiboko Yenu si ubadilishe style ya ushindi
Ushindi ni wangu hamna ubishi
Ubishi utaisha mwaka ukifika mwisho coz na hii thread itakuwa kwishiney
Sidhan km mnaelewa hakuna wa kuimaliza hii game isipokuwa sie wenyewe!kwishiney kwa thread hii,sidhani
Sidhan km mnaelewa hakuna wa kuimaliza hii game isipokuwa sie wenyewe!