Mengi kapandisha bei ya soda!!
Hatujachoka kwasababu hatujui km tumechoka
Tumechoka bwana na twahitaji kupumzishwa.
Ni bora aje mwingine naye tumpime
...wenyewe ndo sisi... Who will be the last standing man..?
Tumpime nini?
Kieleweke mara ngapi? Gemu haliishi hili.
Hili jukwaa mna utani sana, hii ndio game gani sasa?
sasa ndio tumefika mwisho au game inaendelea?
Kieleweke kisieleweke lazima JF ifanyiwe marekebisho Mei 12 hadi 15 endapo hutotupata fuatilia kupitia fikrapevu au JamiiForums on Facebook.
Facebook nayo itafanyiwa marekebbisho may 11 mpaka may 19, hivo mkatumia Fikira pevu na Chadema blogspot
blogspot zote zinafungwa kuanzia tarehe 10 hadi 22 May, wanamwaga engine oil.
Oil zenyewe siku hizi zimechakachuliwa sana, unaweka leo kesho unamwaga!
Na hata ukimwaga,watapita na madumu yao watayazoa ili wayapeleke kusafishia chakavu ili....
unajua BAGAH Unafanya makusudi,
si wana yananilii...!!!
yananilii nn? Malizia buc
nini.....??!!buc ndio nini?