JamiiForums game of the year

mikoa iliyokua inazalisha vyakula kwa wingi imekabiliwa na ukame wa muda mrefu kutokana na ukataji miti na uharibifu wa mazingira.
Mazingira ya Arusha ndo yameharibika sana yan jua kali na hakuna mvua mara kwa mara kama zamani
 
Mazingira yetu tunayaharibu wenyewe, na hii ni hatari sana kwa siku zijazo.
 
Queen HUSNINYO haiwezekani uzi huu ufike mwisho iwe sijamtaja Asali wangu!
Mammiy wa maraha!
Mama-Penzi !

kamanda mbona sijakuelewa? Unanitambisha queen
wako? Hujui kua ni hatari kwa afya ya usalama wako? Nitakunyang'anya!
 
Ntakunyang'anya hiyo akili kidogo uliyonayo kwa kuwa hata kusoma thread inasemaje haikusaidii unakuja kichwa kichwa na mapenzi ya watu
 
Mazingira ya Arusha ndo yameharibika sana yan jua kali na hakuna mvua mara kwa mara kama zamani

zamani nilikuwa siijui jf, nilimalizia muda mwingi fb, sasa nimeijua JF nimekutana na SMILE, watu peopleeeeeeeeee...
 
Ntakunyang'anya hiyo akili kidogo uliyonayo kwa kuwa hata kusoma thread inasemaje haikusaidii unakuja kichwa kichwa na mapenzi ya watu
Watu wengine ni vilaza sana Erick, misifa ya kijinga inawasumbua.
 
Ntakunyang'anya hiyo akili kidogo uliyonayo kwa kuwa hata kusoma thread inasemaje haikusaidii unakuja kichwa kichwa na mapenzi ya watu

kamanda mimi hapa nilikuja kikazi kumtuhumu
bi mkubwa haonekani na ananiwekea kiwingu kwa queen wangu. Ya queen yake yalihuuu?
 
kamanda mbona sijakuelewa? Unanitambisha queen wako? Hujui kua ni hatari kwa afya ya usalama wako? Nitakunyang'anya!
nitakunyang'anya hako la laptop kako ili uache kuchakachua game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…