sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Vichwa maji kwenye siasa wapo wengi sana, hilo nimeligundua baada ya kufuatilia chaguzi ndogo ndogo zilizofanyika hapa nchini.Na upeo huu niuonao kwenye Uzi huu nimekubali Jf ni vichwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vichwa maji kwenye siasa wapo wengi sana, hilo nimeligundua baada ya kufuatilia chaguzi ndogo ndogo zilizofanyika hapa nchini.Na upeo huu niuonao kwenye Uzi huu nimekubali Jf ni vichwa!
Mchana wote huu nimekuja mitaa fulani ina vichochoro ile mbaya.
Baada ya kuchoka saana na kutembea ili niweze fika ninapoenda
nimeona ni bora niketi hapa na kupata kinywaji kwenye banda fulani
la vinywaji maarufu kama Kioski... Ghafla dio natambua kua
Nimeketi karibu na kaka ambae nahisi ni tapeli....
Mengi kapandisha bei ya soda!!
Mengi ya mambo yanayonikera humu ndani ni baadhi watu kujifanya wajuaji kuliko wenzao.upeo wako ni mdogo ndio maana unaona kuna mambo mengi...
upeo wako ni mdogo ndio maana unaona kuna mambo mengi...
Ashadi hatimae nimekuona! Nimesikia sana jina lako na sasa fanya hima mrembo
kamuambie
jinsi gani mimi mwanaume wa haja namufaa Michelle my queen.
nchini kwetu kuna changamoto nyingi sana ikiwemo, ajira na mfumuko wa beiVichwa maji kwenye siasa wapo wengi sana, hilo nimeligundua baada ya kufuatilia chaguzi ndogo ndogo zilizofanyika hapa nchini.
Nao wabunge wa chama chake wamenyamaza kana kwamba wamefurahia kilichotokea.UPEO wa kufikiri wa mbunge ******* bado nina mashaka nao!!
Bei ya vyakula imepanda sana kwa baadhi ya mikoa...nchini kwetu kuna changamoto nyingi sana ikiwemo, ajira na mfumuko wa bei
kilichotokea ni kukimbia usiku wa manane bila kutoa taarifaNao wabunge wa chama chake wamenyamaza kana kwamba wamefurahia kilichotokea.
Mengi ya unaoyasemaga huwa ni sababu ya pombe unazokunywaupeo wako ni mdogo ndio maana unaona kuna mambo mengi...
Taarifa zinasema walianza kukimbia baada ya kugundua kuwa hakuna uwezekano wa mgombea wao kushinda.kilichotokea ni kukimbia usiku wa manane bila kutoa taarifa
Nao wabunge wa chama chake wamenyamaza kana kwamba wamefurahia kilichotokea.
Penzi la wife ni la kiwango cha juu sana....Uko wapi mylove Amy?Queen HUSNINYO haiwezekani uzi huu ufike mwisho iwe sijamtaja Asali wangu!
Mammiy wa maraha!
Mama-Penzi !
kilichotokea ni kukimbia usiku wa manane bila kutoa taarifa
Unazokunywa wewe hazina madhara hivyo ni vizuri kama ungemshauri na Bagah abadili anywe kama zako.Mengi ya unaoyasemaga huwa ni sababu ya pombe unazokunywa
Tayari anayo taarifa au hujiamini?kilichotokea dada yangu nimewletea jiko jipya, anaitwa Smile....amewaambia tayari?
mikoa iliyokua inazalisha vyakula kwa wingi imekabiliwa na ukame wa muda mrefu kutokana na ukataji miti na uharibifu wa mazingira.Bei ya vyakula imepanda sana kwa baadhi ya mikoa...
Tayari mara hii umejiweka kwa smile? Yangu macho.kilichotokea dada yangu nimewletea jiko jipya, anaitwa Smile....amewaambia tayari?
Zako ni nzuri sana....hazina kilevi...nitamshauri Bagah aige mfano wetuUnazokunywa wewe hazina madhara hivyo ni vizuri kama ungemshauri na Bagah abadili anywe kama zako.