JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Na upeo huu niuonao kwenye Uzi huu nimekubali Jf ni vichwa!
Vichwa maji kwenye siasa wapo wengi sana, hilo nimeligundua baada ya kufuatilia chaguzi ndogo ndogo zilizofanyika hapa nchini.
 
Mchana wote huu nimekuja mitaa fulani ina vichochoro ile mbaya.
Baada ya kuchoka saana na kutembea ili niweze fika ninapoenda
nimeona ni bora niketi hapa na kupata kinywaji kwenye banda fulani
la vinywaji maarufu kama Kioski... Ghafla dio natambua kua
Nimeketi karibu na kaka ambae nahisi ni tapeli....

Ashadi hatimae nimekuona! Nimesikia sana jina lako na sasa fanya hima mrembo
kamuambie
jinsi gani mimi mwanaume wa haja namufaa Michelle my queen.
 
Ashadi hatimae nimekuona! Nimesikia sana jina lako na sasa fanya hima mrembo
kamuambie
jinsi gani mimi mwanaume wa haja namufaa Michelle my queen.

Queen HUSNINYO haiwezekani uzi huu ufike mwisho iwe sijamtaja Asali wangu!
Mammiy wa maraha!
Mama-Penzi !
 
Vichwa maji kwenye siasa wapo wengi sana, hilo nimeligundua baada ya kufuatilia chaguzi ndogo ndogo zilizofanyika hapa nchini.
nchini kwetu kuna changamoto nyingi sana ikiwemo, ajira na mfumuko wa bei
 
Back
Top Bottom