nafuu, nafuu hufanya tupate vitu pure mchina!
mchina hafai aisee!
Aisee unafahamu kwamba kuna mchina orijino na mchina fake?! Mchina orijino ndiyo kanyanga na mchina fake ndiyo ya ukweli.
Invisible sio muanzishaji wa huu uzi bwana.
Bwana au Mkuu Kiboko Yenu ndiye mwanzilishi wa huu uzi,
lakini haonekani tena humu Jamvini.
jamvini kwani hapa msibani
jamvini kwani hapa msibani
Msibani kwa mtoto wa DAR Express (Mzee Mremi) watu walikuwa wengi sana
pale kanisa la KKKT Magomeni Mviringo, je wewe ulikuwepo.
Bungeni kumewaka moto hivi sasaulikuwepo jana bungeni
Bungeni kumewaka moto hivi sasa
@#$32434223#%@#@ hili game halina mshindi na umevunja kanuni za mchezo...taarifa nawapeni hamna mtu kuchangia tena hiyo maada kwa kuwa mi ndo wa mwisho so mi ndo winner @#$32434223#%@$%#@
@#$32434223#%@#@ hili game halina mshindi na umevunja kanuni za mchezo...
K.I.N.E.M.B.E ndio nini.....:sleep:mchezo mtamu huu...kama K.I.N.E.M.B.E
K.I.N.E.M.B.E ndio nini.....:sleep:
:A S shade::banplease:πππππππ