:A S shade::banplease:
Lol wameharibu mchezo.
Lol wameharibu mchezo.
ulikuwepo jana bungeni
bungen sasa hv kilichobak n ndondi 2
mchezo uishie hapa naona mmechoka tukutane msimu ujao... nashukuru washiriki wote pia mjue katika game kuna kushinda,kushindwa na kutoa droo so tufanye hapa ni droo .... shukrani za dhati kwako ww ulieshiriki. kama mamndenyi,bagah, huyu ndo mharibifu wa mchezo katavi,na. wote kwa majina yenu pia charminglady,badili tabia,kongosho na .....
seya uko wapi...seyaa seyaaa...
seya tutoke wote!hata mvua ikinyesha oooohh seya...
Seya vaa vizuri tutoke mama.
mama yangu yani bado mnaendelea
ulikuwepo jana bungeni
Bungen nilikuwepo but wakanitoa nje kisa niliongea point
Point ya kusema raisi wetu ni dhaifu.
Dhaifu kama wanaochakachua hili game letu.
Letu moja la kunyakuwa ushindi mwisho wa mwaka.
Mwaka huu Bungeni kumechangamka jama!!
Yani natamani wazichape nyama kwa nyama,
Tuwajue watoto wa Mama wepi na wagumu wa Kitaa wepi.
wamechokwa kiukweli lakini kwa kuwa wao ni waasisi wa chama cha machangu, basi hawana idea kuwa wahawatakiwi na watanzania.Wepi wanakubalika Na Wananchi Na wepi wamechokwa!